Nipo serious

Nimekuja mbio nusu nivunjike mguu nakujua unakitoa bure kumbe ni tofauti na nilichokikuta haya walengwa kazi kwenu
 
Umetumwa na mganga kwan?maana ulivyopresent kama hitaji la haraka kwa issue maalum
 
Kama uko serious njoo pm nikupe namba ya mshkj,(sio mm, mm nishawagalagaza had tigo) huyu jamaa nina hakika hajawaj
 
Zile nyuzi za ujauzito na tabia za kuchepuka siyo za kweli?
 
itakuwa umetumwa na mganga.....kwa karne ya leo hakuna mwanaume wa hivyo labda kitoto ambacho kimezaliwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…