Nipo nachat na mke wako

Nipo nachat na mke wako

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Kama upo kuangalia mpira muda huu, saa nne na dakika 51 usiku. Tarehe 12/12/2018

Basi fahamu kuwa mke wako anachat namimi muda huu. Nimemuuliza mme wako yupo wapi, anasema yupo kuangalia mpira. Kwahyo muda huu tunachat story za mahaba, ananiambia twende tukaoge.

Bado sijamtafuna, ndio tunaelekea huko. Tumepanga appointment Jumapili, kwahyo kama leo upo kuangalia mpira na mke wako akasema ana kikao cha wamama Jumapili basi ujue ndio anakuja kuonana namimi.

12/12/2018, 10:51 pm
 
Washkaji zake 2Pac walisokota majivu ya Marehemu rafiki yao wakayavuta kama bhangi ili kupata busara alizokuwa nazo step son wa mzee Shakur. Badilisha jina mzee!
 
Kama upo kuangalia mpira muda huu, saa nne na dakika 51 usiku. Tarehe 12/12/2018

Basi fahamu kuwa mke wako anachat namimi muda huu. Nimemuuliza mme wako yupo wapi, anasema yupo kuangalia mpira. Kwahyo muda huu tunachat story za mahaba, ananiambia twende tukaoge.

Bado sijamtafuna, ndio tunaelekea huko. Tumepanga appointment Jumapili, kwahyo kama leo upo kuangalia mpira na mke wako akasema ana kikao cha wamama Jumapili basi ujue ndio anakuja kuonana namimi.

12/12/2018, 10:51 pm
Dah.!
 
Sikutofautishi na mtu aliyebeba bomu kwa ajili ya kujiripua.

Bora hata mwenye kujitoa mhanga maana anakufa kabisa, ila aibu utayoipata baada ya fumanizi ndugu yangu!!!!!!

Mke wa mtu na mwanafunzi, they are so sweet poison.
 
Hivi vyuo vina likizo ya kumaliza semister.... Mmeanza kuja, itakuwa chin ya miaka 25 wewe
 
Back
Top Bottom