Nipo mkoa tofauti na nilipojiandikisha, nitaweza kupiga kura?

Kibwengo

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
6,838
5,294
Wakuu nitaweza kweli kupiga kura Oktoba 28 ya Urais, Ubunge na Udiwani nipo mkoa tofauti na niliojiandikisha na wala sijaboresha daftari.

Ni yeye 2020..

Kwa sasa Sumbawanga.
 
Inategemea mkuu kama utakuwa katika "kazi maalumu ya tume" utapiga kura ya Rais tu.
Kama uko kwenye mishe zako tu aisee hapo utakuwa umepunguza kura kwa "ni yeye202"
 
Back
Top Bottom