...labda tatizo ni kwamba tulianza kama marafiki wa kawaida kama miez miwili au mitatu hv so kuna yale mazoea yalijengeka mwanzo ...pamoja baadae tulikuwa wapenz lakin bado yale mazoea ya kirafiki yapo na ndio imechangia kudumu muda wote huoUmeongea ukweli kabisa two years afu huna hisia nae labda ana matatzo huyu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu heri ya mwaka mpya nikajua tumekuacha 2018Sasa hapa unataka ushauri gani?
..ipo hiv,kuna msichana nipo naye kwenye mahusiano mwaka wa pili huu ...lakin toka mwanzo sikuwahi kumpenda kwa moyo wote ..ilitokea coincidence tu tukajikuta kwenye mahusiano ...mwanzon ilikuwa ni kama friends with benefits tu lakin yy ndiye alichangia kwa kiasi kikubwa at least kufikia hapa ...sasa kwa kipind hiki mimi najiona nahitaji kuwa na familia kwa maana umri unaruhusu kabisa na kipato cha kumudu majukumu ya familia nashukuru kipo...sasa tatizo hata nikiwa naye sijifeel chochote yan...kuna wakt hata kwenye sex ili mzuka uje wa kutosha basi kwenye fikra zangu nimfikirie mdada mwingine(tuliwah kuwa wapenz na huyo tukaseparate,ameolewa kwa sasa) ndio stimu zinakuja za kutosha....lakin huyu ndio yupo around kwa sasa , ambacho kinanipa shida ni kwamba kwa sababu nahitaj kuoa je niendelee na huyu huyu ambaye tayri tushazoeana lakin moyon kwangu hayupo na nimeshajilazimisha sana kumpenda lakin still bado namchukilia poa tu au nitafute mwingine ambaye moyo wangu utaridhika naye ndio niingie kwenye ndoa (hapa nafikiria kuanza upya kumzoea mtu mwingine na mapungufu yake uyazoee) by the way I'm turning 30 may mwaka huu na najihis nimechelewa kuanzisha familia..hapa ndio pananipa shida ..ushauri please
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua muhimu utafutapo mwenza. - JamiiForumsIpo hivi,kuna msichana nipo naye kwenye mahusiano mwaka wa pili huu ...lakini toka mwanzo sikuwahi kumpenda kwa moyo wote ilitokea coincidence tu tukajikuta kwenye mahusiano mwanzoni ilikuwa ni kama friends with benefits tu lakin yeye ndiye alichangia kwa kiasi kikubwa at least kufikia hapa .
Sasa kwa kipindi hiki mimi najiona nahitaji kuwa na familia kwa maana umri unaruhusu kabisa na kipato cha kumudu majukumu ya familia nashukuru kipo sasa tatizo hata nikiwa naye sijifeel chochote yani
kuna wakati hata kwenye sex ili mzuka uje wa kutosha basi kwenye fikra zangu nimfikirie mdada mwingine(tuliwah kuwa wapenz na huyo tukaseparate,ameolewa kwa sasa) ndio stimu zinakuja za kutosha
Lakini huyu ndio yupo around kwa sasa , ambacho kinanipa shida ni kwamba kwa sababu nahitaji kuoa je niendelee na huyu huyu ambaye tayari tushazoeana lakini moyoni kwangu hayupo na nimeshajilazimisha sana kumpenda lakini still bado namchukilia poa tu au nitafute mwingine ambaye moyo wangu
Utaridhika naye ndio niingie kwenye ndoa (hapa nafikiria kuanza upya kumzoea mtu mwingine na mapungufu yake uyazoee) by the way I'm turning 30 may mwaka huu na najihisi nimechelewa kuanzisha familia..hapa ndio pananipa shida ..ushauri please
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu kwetu Tarime mkuuWanaume nyie, muwe na huruma, yani unadate na mtu for 2 yrs Kwa kujilazimisha duuh, kwann usimwambie ukweli mwanzoni kabla hamjafika mbali ili afahamu kabisa hamna future hapo. Huenda binti Wa watu anakutegemea mtafika mbali(ndoa) kumbe wewe unajilazimisha aisee
Anyways ndoa ni kifungo cha maisha, hivo usiingie Kwa kubip bip, hakikisha kweli mmependana na huyo mfungwa mwenzio. Kama unaona kabisa hutoweza kuendana naye huyo binti mwambie ukweli ataumia lkn atamove on, lkn ukikaa kimya mda utazidi kwenda mtafika miaka 3.. bila malengo yoyote tena.
Pia umri sahihi wa kuingia kwenye ndoa ni ule ambao unajiona uko tayari na umepata mwenzi sahihi. So unaweza ingia ukiwa na 30s, or 20s nk. Ila Make sure umepata mtu sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupa likes 100Kukaribia 30 Ndo kuchelewa kuanzisha familia? Mi nadhani hujaelewa maana ya familia kuna msemo wa kiswahili kosea kujenga nyumba usikosee kuoa. Unadhani walimaanisha nn?
1. Usioe/usiolewe na mtu ambae moyo wako haujaridhia
2. Usikimbilie kwenye ndoa kisa umri umefika.
3. Usioe/usiolewe kisa umevutiwa na umbo shepu n.k
Umri sahihi wa kuoa ni upi labda? Tuanzie Hapo ila don't settle for less than what you deserve
Sent using Jamii Forums mobile app