Una umri gan?Kazi iendelee!
"Wrevta unashirikiana na wenzako kweli?" Kauli hii kutoka kwa mwalimu wangu nikiwa sekondari miaka hiyo inanikumbusha machungu mno.
Nikajibu "ndiyo", ila ukweli ni kwamba sikuwa na ushirikiano wa kuridhisha na wenzangu. Muda mwingi nilipenda kusoma mwenyewe, ila sikuwa mchoyo wa materials au majibu pindi nilipoulizwa swali.
Hata nyumbani nilikuwa mkimya mno na nisiyependa mikusanyiko, nilikuwa hivi toka utoto... utotoni napo nina historia mbaya, hali inayofanya nisifurahie kukumbuka utoto wangu.
Nilipojifunza kuongea nilikuwa napenda kumuambia mzee mmoja "mzee jua litakuangukia", niliongea haya huku natazama juu kuliangalia jua na kumuambia kuwa litamuangukia.
Nimeishi mno karibu na ndugu wa kuzaliwa tumbo moja, na wale wa karibu sana. Ila marafiki na jamaa sikuwapa attention sana toka utotoni.
Siwezi kuwa mcheshi wala kuigiza kuwa mcheshi, kila nikianza mahusiano na msichana, baada ya muda mfupi yanakufa tu automatically! Hali hii imezidi kunifanya niwe mpweke.
JF ndiyo rafiki na jamaa yangu, napitisha hata miezi bila kuwasiliana na rafiki wala jamaa. Nina namba zao zimejaa tu kwenye contact book yangu.
Sijui hali hii inanipeleka wapi...sijui wa kumuoa mpka dk hii, naumia zaidi kuona wenzangu wakiwa post 'to-be's' wao status na wakiwa vacations, mimi hata siku moja sijawahi kuwa na huyo wa kum post. Nasononeka mno!
Hivi kasoro yangu ni huu ukimya pekee? Mbona wengine ni wakimya na wana 'to-be's'? Mimi nina shida ipi? Au nimefungwa kimakusudi ili niwe hivi? Kwa maslahi gani huyo aliyenifunga anapata?
Wasichana wananichangamkia ila baada ya muda wanaanza kuniwekea vinyongo... najiuliza nakosea wapi? Au kwa kuwa siwatongozi? Au kwa kuwa nawachukulia kama marafiki tu in a positive way?
Kuna wakati napata kumbu kumbu za zamani hali inayoniumiza sana. Kwa nini maisha yapo hivi?
Hivi ni ushirikiano upi jamii na wasichana wanahitaji? Nataka nichague tu njia sahihi ya kuanza safari yangu ya mafanikio. Nafikiria nichague Islam au Christianity au Budhaism au nirudi kwenye imani za mababu!
Hii hali inaniumiza sana... mimi mbona ni kijana handsome nakosea wapi? Ugomvi wangu na wasichana wengi unaanzia wapi? Sina dharau, ni mtu safi tu.
Najua kuvaa vizuri na katika u smart! Je, wanani overrate? Wanakosa ujasiri kwangu? Mimi ni wa kawaida mno, why sijui uelekeo wangu kwenye maisha ya ndoa?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
IntrovertKazi iendelee!

Mzee wangu ahsante sanaUsipende kuwa kama watu wengine hivyo hivyo ulivyo unatosha, hivi suala la ndoa ni muhimu kiasi hicho??!! Usione watu wanapostiana huko mitandaoni ikakuumiza akili hujui wanayopitia, kila siku kesi za watu kuuana, kutoana macho, kuong'oana meno bado unayatamani maisha hayo?? Furahia maisha yako, wanawake unaokutana nao inawezekana wanapenda sana drama cha kukushauri tafuta ambao wapo kibiashara zaidi wakupunguzie Upwiru hakika utakuwa na amani
Upo kama mimi ndugu yangu hii hali inauma sana kiasi kwamba unaweza ukajiona wewe ni zombi kumbe wala .
ila jifunze kuongea ( hapa kwenye kuongea ongea point za maana tuu na chache mno kulinda kuonekana wa hovyo ), nauwe mchokozi sana kwa wasichana wewe wachokoze tuu hatakama huna cha kuwaambia ufundishe moyo wako kuwa mchokozi sana kwa wasichana.
Mimi ndio nilivyo shauriwa japo kuwa mcheshi ndio nimeshindwa kabisa ila najitahidi sana ku-smile ninapo chokoza wadada na kuongea nao.
Kuhusu kujichanganya na jamii usiangakie umri wako jichanganye hata kwenye ma play station huko, kwenye vijiwe vya kahawa na bao.
Alinishauri hivyo jamaa mmoja na sasa naona matokeo yake ni positive
Mimi si introvert. Introvert wanakuwaje?Introverts Wana maisha magumu sana
watakwambia lipia tangazo hapamimi mbona ni kijana handsome
Sina hiyo pesa aisee!watakwambia lipia tangazo hapa
Hayo nilishayakataa... sitaki makelele kelele.!Anti-social -from genetic or past childhood experiences!!
Anza KWA KUSALIMIA watu maeneo unayokaa!jumuika na washkaji kwenye michezo ya ubishani hata mpira au pool table!!
Watanie wadada kuwa wao ni pis kali KWA kuwasalimia nabkuwachombeza mbona huwaoni siku hizi labda walisafiri,halafu chukua namba zao chat nao waambie una wafeel halafu hakikisha unataka kujua kama wazima au wankula nini na vingine vingi then there you are man!!!
Hii ni denial state of mind yaani kutojikubali,
nenda kacheze hata pool table tazama mechi za mpira,shangilia bishana sana!chambua sana gem yaani unawasaidia wanao bet japo wewe usibeti!!
jaribu mkuu!!
wanawake wa kuulizana Baby umekula nini watakupotezea muda sana, tafuta hit & run, muda wako uwekeze kwenye vitu vya msingi. Hii ni lifestyle yangu baada ya kuona hii mambo ya ndoa haipo kwa watu kama mimi.
Mzee sasa now una umri gani? Je, una mpango wowote wa ndoa?wanawake wa kuulizana Baby umekula nini watakupotezea muda sana, tafuta hit & run, muda wako uwekeze kwenye vitu vya msingi. Hii ni lifestyle yangu baada ya kuona hii mambo ya ndoa haipo kwa watu kama mimi.
Makelele NDIO uhai mkuu!!