Nipo hapa Public Relations Officer

dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,332
1,375
Habari wakuu,

Nimemaliza Chuo mwaka Jana tayari nimefanya kazi na mashirika mbalimbali kwa miezi kadhaa.

Kwa sasa nimejiajiri lakini nimeona bora nirudi kuajiriwa niongeze mtaji, somo la kukopa sijawahi kulielewa.

Haya, Kama unahitaji MTU wa kusaidia mambo yoote yaki mahusiano kwa level ya cooparate, social media management, prepare press release, outdoor and indoor event, kuandaa action plans, report nk.

Tafadhali nitafute sitokuangusha.
 
Wazo zuri bro but naona vijana wenzio wanapambana kuanzisha PR Agencies zao wanasema kuajiriwa miyeyusho ebu jipange ndugu nawe one day uwe boss uweke tangazo la kutafuta vibarua sie tuje kupaka rangi ofisi yako.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Wazo zuri bro but naona vijana wenzio wanapambana kuanzisha PR Agencies zao wanasema kuajiriwa miyeyusho ebu jipange ndugu nawe one day uwe boss uweke tangazo la kutafuta vibarua sie tuje kupaka rangi ofisi yako.
Asante wazo zuri,

Shida ni kwamba nakosa vijana wenye chemistry ya saburi na kicho.

Kwamba mtu anataka matokeo ya papo kwa papo, nimejaribu kuanzisha ka agency kangu lakini bado nakosa vifaa professional kwa ajili ya kazi.

Najikuta visenti vya biashara vinapotelea kugharamia Maisha kwaiyo bora niajiriwe niji establish kisawasawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom