Saint H.Jr
Member
- Aug 22, 2013
- 47
- 40
Wewe ni binti au kidume?
hujielewi na mbaya zaidi huelewi hata how the whole love phenomenon operates!...chungu na ngumu kumeza,ikikushinda tema!!😎Nipo Geita,natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuish maisha ya ndoa! Sifa zangu nitamwelezea endapo atakuwa tayari na kunitafuta kwa nambari 0759947397.Ingependeza zaidi naye awe maeneo ya Geita! Tafadhalini,utani siutaki,nipo serious sana!
Hao mabinti wote walioko Ambassador,Classic,na Alpha hujawaona?!
hujielewi na mbaya zaidi huelewi hata how the whole love phenomenon operates!...chungu na ngumu kumeza,ikikushinda tema!!😎
Mwaga sifa zako kwanza bana....
usijetuingiza cha kiume bure
hujapata bado?
mwenzio busara zingine nimefanya kukopa hadi nikaandika huo ushauri wangu,kama hauna maana upotezee tu!kiroho safi..kila la kheri mkuuHelpless hopeless...doh! Nimependa vle ulivyo_design jina lako but nasikitika sana kuwa u mtupu,i.e,hauna busara hata kidogo,na kama unayo basi haijitoshelezi! Nilitarajia unishaur vitu vya maana,kumbe ni walewale,asante lakini...kiukwl sijapendezwa.
Mwaga sifa zako kwanza bana....
usijetuingiza cha kiume bure
Shost Evelyn Salt bingo hilo mwaya, nisingekuwa na mtasha ningejibebea tena hapa karibu mno.....
Jaman nakumissjeeeee?????
ndo maana namfatilia kwa karibu asee anaezakuwa anamiliki share GGM shost
mic u more mrembo
Mimi ni mwanaume Mtanzania halisi na ndiyo sifa yangu kubwa! Haya mengine ni madogomadogo tu,cha msingi mawasiliano
Ana vogue pia.hivo tu mchumba????????!!!!!!!!!!
Tatizo ulivyoweka hilo tangazo lako limekaa kitemi... then unavyojibu pia inawakatisha tamaa... hebu kua na maneno matamu basi ya kuwalainisha hawa watoto... huu ni urithi wetu mkuu... acha kuneng'eneka...
Tatizo ulivyoweka hilo tangazo lako limekaa kitemi... then unavyojibu pia inawakatisha tamaa... hebu kua na maneno matamu basi ya kuwalainisha hawa watoto... huu ni urithi wetu mkuu... acha kuneng'eneka...