Nipewe jibu: Maji yapi hupooza mengine kati ya moto na baridi

Nipewe jibu: Maji yapi hupooza mengine kati ya moto na baridi

Ndg wana jamvi nimekuwa napata maswali mengi hasa kwa sie tuendao bafuni na ndoo au karai ukitanguliza maji ya Moto utasema unapooza ukitanguliza baridi unapooza
Mfano huu unamaanisha wewe Una hamu na tendo la ndoa mwenzio hajawa tayari AMA haelekei au haonyeshi ushirikiano je.unatakiwa ufanyeje umpooze AMA akupooze
NB majibu yatolewe na walio fikisha umri AMA wanaohusika
Nawasilisha

Mnapoozana, kwa maana hata kama alikua hataki akisharuhusu mchezobkuanza basi hapo hakuna cha aliyekua anashawishiwa wala kushawishi! Wote mpo kwa mbio za 100m
 
Back
Top Bottom