Hapo kwenye red huo ni mtandao wa ngoma kuwa makini.WADAU hali zenu???
nina gf wangu tupo nae zamani, ila apa miezi michache nimekuwa na uhusiano na wengine kwa mda huu, yan ni kweli nawapenda nao wanakubali kuwa nawapenda na wapo tayari kuwaacha wa kwao ili wawe nami, ili wao wanawaswas kama nawadanganya sababu uyu GF wangu nipo nae muda mrefu..
Kiukweli kuna uyu GF mmoja wa nje ana vigezo vyoote abavyo mi navitaka na ninamkubali sana hata katika mambo ya maisha ya baadae yani ni mshauri mzuri.
mwingine yeye ndo mruri balaa ila mjanja japo ana upendo kama wengine ila yeye tukiwa nae kwenye simu wanampigia kila mara kumtongoza japo ana msimamo,ila was wangu ktk 10 wanaomtongoza hivi ata mmoja hatamkubalia???
Uyu GF mwenyewe"mamaa' yeye haeleweki yan anfata tu kila nsemacho wkt inabid awe mshauri pia... yan yupo yupo na ndo ana upendo kuliko woooote.
SASA NAITAJI USHAURI WENU WADAU
If you wanna go for good go for this one, trust me you wont regret.
Uyu GF mwenyewe"mamaa' yeye haeleweki yan anfata tu kila nsemacho wkt inabid awe mshauri pia... yan yupo yupo na ndo ana upendo kuliko woooote.
NDO NAJITAIDI NIWE NA MMOJA ILI am sure ntakua nae mmoja soon... we toa ushauri, uo umapepe ndo nataka mnishauri niache
Are you okay bra?
I think something is not happening in you
Kwa nini unawachanganya? Why not decide on one? Are you planning to merry em all or you are just a play boy?
Kama sivyo bra chagua mmoja then wasaidie wengine wakutoe moyoni watafute future ya mauhusiano kwa wengine otherwise utakuja kuwaumiza na itakugharimu maishani
Bro awa wengine wanao watu wao ila wamawsema kuwa wanataka kuwaacha ili wawe nami,ila nashindwa kuwajibu maana naona ntamuumiza mamaaa...