Kuna dada nilvutiwa nae vibaya ni mwezi wa tatu sasa namuona hakosagi Kanisani,leo bwana nimekaa nae siti moja kama si imani ibada ingevurugika kwa kweli.
Sasa wakati wa kutoka nikamugalia weee nikaona haitoshi nikamfuatia nyuma kama nusu kama akapanda bodoboda ikabidi nirudi,nilivyomuona yawezakua amenizidi kauwezo maana simu alio nayo jinsi alivyovaa na mwonekano wake mi nimdogo kwake kiuwezo.
Lakini kwavile alivyo mnyenyekevu kanisani hawezi kuringa niliazimia kuto kumtongoza mdada yoyote lakini kwa huyu nimekwama,yaani hata mngemuona wenyewe mngekubali sauti umbile rangi daaaah. Yaweza kua huyu ndio MUNGU kaniandalia.
Wenzangu huwa mnaanzaje katika hali hio kumtokea, halafu anaonyesha ni graduate mi niliishia la saba hebu nipeni ujanja wandugu.