Wanawake wafupi walinishangaza kwenye ishu moja kwenye kitanda wanahama hama kila kona ya kitanda maana kitanda ni mstatili lakin bado akiangalia kusini anafit akiangalia kaskazini anafit akiangalia magharibi vile vile , sasa sisi wanaume warefu unashtukia magoti yanagonga ukingo wa kitanda, kenyewe kanahama hama tu