Ama hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu Mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe hamsini mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu? Ama hakika...