Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 106
- 190
Nimeambiwa mkojo mchafu kidog0, nimeandikiwa dawa ila kwa kweli sijanunua izo dawa nipeni tu njia za kusafisha mkojo kama zipo.
+matunda hasa matango , na konyagi .Kunywa maji mengi utakuwa unakojoa mara kwa mara.
Ndo hawa poor brain tunao tafutaga..hehe! watanzania kama nyinyi ndio huwa mnastahiri kupigwa mfe daktari kakupima kagundua tatizo kakuambia uchukue dawa na hautaki unakuja humu kutafuta dawa tena!!!! nina kila haja yakukuita zwazwa.
Halafu swala la kunywa maji nakula matunda ni un kwepabo!. madaktari wamekuwa wakihubiri hili ni wajibu wetu huyu anafaa kupigwa tu nothing elseNdo hawa poor brain tunao tafutaga..
Inamana doctor hana akili ya kumwambia anywe maji mengi au matunda .. 🙌🙌🙌🤓🤓
Jamaa ajui kuwa kwa hatua aliyofikia better way ni dawa kwanza
Nadhani alimaanisha anataka lishe tiba na sio tiba ile inayotokana na kemikali za maabara.hehe! watanzania kama nyinyi ndio huwa mnastahiri kupigwa mfe daktari kakupima kagundua tatizo kakuambia uchukue dawa na hautaki unakuja humu kutafuta dawa tena!!!! nina kila haja yakukuita zwazwa.
Ety yupo seriously hataki kutumia dawa 🤓🤓🤓🙌🙌🙌Halafu swala la kunywa maji nakula matunda ni un kwepabo!. madaktari wamekuwa wakihubiri hili ni wajibu wetu huyu anafaa kupigwa tu nothing else
ngoja akutane na watoto wa mjini wamchape pochi.Ety yupo seriously hataki kutumia dawa 🤓🤓🤓🙌🙌🙌
Mkojo mchafu kibongo bongo ndiyo UTI hiyo.Nimeambiwa mkojo mchafu kidog0, nimeandikiwa dawa ila kwa kweli sijanunua izo dawa nipeni tu njia za kusafisha mkojo kama zipo.
''Mkojo wako ni mchafu (kidogo)'' hii sentensi ni ya hatari sana sana kwenye duru za afya za watu. Kwenye medical terms hakuna kitu kama ''mkojo mchafu''. Kwanza huu usemi unakanganya sana na unafanya watu watumie dawa au matibabu bila utaalam. Wewe ulitakiwa umuulize huyo aliyekuambia: Ni nini hasa kimeonekana kwenye kipimo?Nimeambiwa mkojo mchafu kidog0, nimeandikiwa dawa ila kwa kweli sijanunua izo dawa nipeni tu njia za kusafisha mkojo kama zipo.
Maji mengi changanyq na mdalasini na karafuuNimeambiwa mkojo mchafu kidog0, nimeandikiwa dawa ila kwa kweli sijanunua izo dawa nipeni tu njia za kusafisha mkojo kama zipo.
Tumia dawa ulizoandikiwa na daktari, hasa kama ni antibiotics maana hapo inamaanisha tayari una infection.Nimeambiwa mkojo mchafu kidog0, nimeandikiwa dawa ila kwa kweli sijanunua izo dawa nipeni tu njia za kusafisha mkojo kama zipo.
Dawa za kienyeji hizi za bila vipimo zimeua figo za watu sana.Vipi dawa za kienyeji, au nazo hutaki kutumia?
Unapokuwa na mchafuko wa mkojo, inaonesha kuna bacteria kwenye mfumo wako wa mkojo ambao ili wafe unalazimika kunywa hizo dawa ama uchomwe sindano
Miaka yetu ya zamani, ilikuwa tunatumia mitishamba kupona kabla hizi Azuma zenu hazijaanza kutolewa huko Mahospitalini
Aaargh nyie wadada wengi siku hizi mna UTI sugu. Sina hamu kabisa na wanawake wa Tz kwa sasa.Nimeambiwa mkojo mchafu kidog0, nimeandikiwa dawa ila kwa kweli sijanunua izo dawa nipeni tu njia za kusafisha mkojo kama zipo.
Medicine don't heal they mask the symptomshehe! watanzania kama nyinyi ndio huwa mnastahiri kupigwa mfe daktari kakupima kagundua tatizo kakuambia uchukue dawa na hautaki unakuja humu kutafuta dawa tena!!!! nina kila haja yakukuita zwazwa.