Yes,this was my Plan A and It failed.Tujikute tu kishanichinja, naona manyoya yaleeee....sio ooh sasa nakupenda vikaenda vikarudi sasa naomba jibu yani hadi nyg huwa zinayeyuka nikiambiwa hivo
Vipi ushafanya muamala au unajifariji ana icecrem tuuWakuu,
Mimi nimepanga hapa Dar. Kuna mwanamke naye anakaa Nyumba hii hii niliyopanga (anakaa na ndugu zake)
Huwa tunawasiliana almost kila siku kwa simu, na juzi kati nilimnunulia vizawadi toka supermarket(ili kuzidi kuweka ukaribu) na alipokea vizuri kabisa.
Jana nilimtoa out for Dinner na katika mazungumzo nikachomekea mtongozo.
Hakuonyesha ushirikiano sana, na akasema hawezi kunipa jibu kwa wakati huo. Jibu lake hilo liliniweka out of mood kichizi.
So naona kama mbinu niliyotumia (Plan A) haijazaa matunda niliyotegemea Coz nahitaji kumla huyu mtoto fasta.
Kwa hiyo wakuu, hebu Nipeni Technics na maujuzi nimn'goe huyu mtoto mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwambie sorry kama ulimkwaza kwa yale maongezi, then endeleza ukaribu wa kirafiki, peleka vi zawadi mtoe toe mida ya night mpeleke maeneo yanaoyamsha hisia sio bar kwenye mikelele, muage kwa kabusu afu muache, siku nyingine mwambie aje akutembelee usimuombe mzigo jifanye huna habari kumbe una nyg za kufa mtu, hadi hapo umepata uelekeo au bado?Yes,this was my Plan A and It failed.
Sasa nipe mbinu mbadala ili nichinje kiulaini aishie kuona manyoya yaleeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukujui, hatumjui, tukupe mbinu, what if ni ndugu yangu!?
Kama kapokea zawadi. Kakubali date....usitake jibu la papo kwa papo. Huyo ushakula. Tulia tu. Si kasema hawezi kukupa jibu papo kwa papo....hizo ni formalities tu ila tangu anapokea vizawadi ashaelewa somo huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tunapokua tunafanya haya yote hua mnajua shida yetu ni nini? Mimi nilizani hua hamjui ila mnakujashituka baada ya kuona manyoya.We mwambie sorry kama ulimkwaza kwa yale maongezi, then endeleza ukaribu wa kirafiki, peleka vi zawadi mtoe toe mida ya night mpeleke maeneo yanaoyamsha hisia sio bar kwenye mikelele, muage kwa kabusu afu muache, siku nyingine mwambie aje akutembelee usimuombe mzigo jifanye huna habari kumbe una nyg za kufa mtu, hadi hapo umepata uelekeo au bado?
Unataka umle alafu usepe mtu ambae unaishi nae mji mmoja???? Ndio maana huwa mnalogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
exactlyWe mwite ghetto akusaidie kitu ....mambo ya mitongozo waachie watoto wa form two
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sanaa, hyo tunaiita TAKE ONE ACTION [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tujikute tu kishanichinja, naona manyoya yaleeee....sio ooh sasa nakupenda vikaenda vikarudi sasa naomba jibu yani hadi nyg huwa zinayeyuka nikiambiwa hivo