Nipeni mbinu ya kumla huyu mwali

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
455
Reaction score
1,731
Baada ya kuishi kwa muda mrefu kama bachelor sasa hapa nyumbani kwangu nimepata mgeni binti black beauty ana mzigo wa maana

Huyu binti kaletwa na rafiki ake ambaye tunafahamiana amekuja hapa kwangu nimpangishie room

Sasa naona huyu atanifaa sana ila sitaki nimtongoze nataka tu ashtukie ananipa mbususu mwenyewe bila shuruti

Je nitumie mbinu gani kumteka bila kuanza kumtongoza tongoza najua hapa kuna mabingwa wa kula kimasihara nipeni mbinu
 
Mletee chocolate kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚
 


  • Andaa kinga.
  • Azuma.

Mwanamke unayekuta anakupa tu amewapa wengi.
 
π™Όπš πšŠπš–πš‹πš’πšŽ πšŠπš”πšŠπšŽ πš‹πšžπš›πšŽ πš”πš’πšœπš‘πšŠ πš–πš”πšŠπš‹πš’πšπš‘πš’ πš‘πšŠπšπš’ 𝚒𝚊 πš—πš’πšžπš–πš‹πšŠ πš—πšŠ πš‘πšŠπš”πš’πš”πš’πšœπš‘πšŠ πšžπš”πš’πš˜πš—πšπš˜πš”πšŠ πšŠπšœπšžπš‹πšžπš‘πš’ πšžπš—πšŠπš–πšžπšŠπšŒπš‘πš’πšŠ πš™πšŽπšœπšŠ 𝚒𝚊 πš–πšŠπšπšžπš–πš’πš£πš’ πš–πšŽπš—πšπš’πš—πšŽ 𝚒𝚊𝚝𝚊𝚏𝚞𝚊𝚝𝚊
 
Hapo nimechombeza but akina sisi hatutongozagi...tunacheza na saikolojia yako...unaingia mwenyewe[emoji1787][emoji1787]
Kiutanu utani tu

Aah wapi!!! Labda km mnaviziana wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…