Nipeni mbinu nisipende tena!!

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
814
Reaction score
1,647
Wakuu kichwa kinajieleza nipeni mbinu nisipende tena mana nimesalitiwa kibao wewe uliwezaje kukabiliana changamoto za kupenda usipopendwa?

karibun wote
 
Nakutabiria kuumia milele!
Tafsiri ya upendo ni kupata furaha kiasi na changamoto kiasi. Kama soka vile, unashinda na kufungwa.furaha na uvumilivu.


Gen z mnaaminigi Kuna namna ya kupatia mapenzi au maisha usiumie popote.
 
Upendo ni involuntary action huja automatically jipende kwanza wewe inatosha then utaweza kuvuta upendo wao
 
Wamekusaliti? Mlikuwa mmefunga ndoa?

Wanawake wanataka wanaume wenye tabia za kibad boy, punguza wema.
 
Anza kujipenda wewe kwanza, hiyo ndio mbinu kali naya uhakika


Note:
Kujipenda kwanza, hakumaanishi kuacha kuwapenda wengine.

Kunamaanisha:

Kutofanya thamani yako itegemee kukubalika na mtu mwingine.
Kuweka mipaka yenye afya.
Kutokubaki kwenye uhusiano unaokuumiza kwa hofu ya kupoteza mtu.
 
Wakuu kichwa kinajieleza nipeni mbinu nisipende tena mana nimesalitiwa kibao wewe uliwezaje kukabiliana changamoto za kupenda usipopendwa?

karibun wote
Usipende mpaka upendwe, tafufata pesa jenga mwili, jitengenezee thamani.
NB; ukiona vinavyokuvutia vinakukataa jua huna vigezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…