Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Hii dunia ya sasa totozi ni nyingi sana. Na hazikatai kabisa . Sasa nimetokea kumpenda ghafla dada mmoja kwa dhati kabisa. Sasa sijui atachukua advantage na kuanza mbwebwe au vipi? Maana wasema dawa ya mwanamke ni mwanamke so ukiwa mchepukaji Mapenzi yanadumu!