ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,952
- 61,094
mzeya vipi wachimba mitaro au ndio saidia fundi unahangaika na matofali 😉😉😉😉😉Nature of my job ni mazoezi tosha mazeee
Safi sanaNilidownload App ya namna unaweza kupiga pushapu kwa mitindo tofauti
Hua naenjoy sana napiga pushapu zangu 50-75 kila asubuhi before kuingia job.
Mwili umekaa poa sana kama naingia GYM.
Mazoezi ni Afya tufanyeni zoezi tujenge mwili.
Kwa kodii hii na maisha ya ccm au hupo nchi ganiNilikuwa si mfanya mazoezi, basi siku moja nikakata shauri na nikawa nafanya mazoezi ya kupiga push ups kila asubuhi.
Baada ya miezi kadhaa nikakutana na ex wangu. Akaniangaliaa akanishika bega then akasema "aisee umejengeka".
Nikajifanya kama ni normal tu, lakini moyoni nikajua matokeo yameanza kuonekana.
Btw, baada ya kuanza mazoezi maumivu ya mgongo, sjui shingo niliyasahau. Halafu wala sio push ups nyingi, ni 20 hadi 30 tu kila siku.
Muda wote unadhani JF Ni platform ya kisiasa pole sana kwa stress za CCM... UKIWASHINDWA UNGANA NAO TUMwiguru zakayo na ccm ni mazoezi tosha. Mfano unakamatwa na wasio Julikana wanakutoa ostabey mpaka katavi Bila kupata chakura
Nitumie hiyo link.Nilidownload App ya namna unaweza kupiga pushapu kwa mitindo tofauti
Hua naenjoy sana napiga pushapu zangu 50-75 kila asubuhi before kuingia job.
Mwili umekaa poa sana kama naingia GYM.
Mazoezi ni Afya tufanyeni zoezi tujenge mwili.
Nakazia,Nature of my job ni mazoezi tosha mazeee
Sasa nyie wanawake mnamipango gani zaidi ya vicoba na kushangilia simba 🤣🤣🤣🤣Shida vichwa vimejaa mipango...
Kuku choma watamu bwanaNiliona kila nikitoka mazoezi ndio napata ham zaidi ya kula🫤🫤 halafu nikawa sijinyimi kuna sehemu wanachoma kuku watamu.😋😋 Mlimwa.. n