Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Je ni mpya na (sealed)Mi naanza kwa offer ya laki moja.
Bila shaka ni mpya..je upo wapi na yapi ni mawasiliano yako.? (Namba za simu)80,000/= Tshs.
Heshima iwepo...naamini wewe ni mtu mzima.ungesema ww upo wapi na mawasiliano yako mm ni mtu nisie julikana
myb haupo seriousHeshima iwepo...naamini wewe ni mtu mzima.
Ebana kama bado ipokwa offer hiyo njoo Pm tuyajengeungesema ww upo wapi na mawasiliano yako mm ni mtu nisie julikana
Habari.
Waungwana hebu naomba offer zetu (in term of cost) kwa ajili hard drive ya ukubwa wa 2tb iwe externa na brand new (sealed) na kabila liwe transcend..
Niko serious na nahitaji haraka.
Hii ni maeneo ya dar hasa ubungo .
Asanteni
Mi naanza kwa offer ya laki moja.
80,000/= Tshs.
Je ni mpya na (sealed)
Brand gani?
Ebana kama bado ipokwa offer hiyo njoo Pm tuyajenge
Mkuu naona jamaa hawajakuelewa wamejua wewe ndio unauza[emoji23][emoji16][emoji2]Waungwana bado sijapata