Mdau Makin
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 767
- 207
Ni pm namba nikutumie picha kwa whatsap tafadhaliWeka picha
Huwa nacheka sana nnaposikia mtu akinadi upya,uimara etc wa gari kwa kutumia suala la namba la usajili eti inaanzia B,C au D upya au uimara wa gari kwa kutumia kigezo cha namba ni kujidanganya....tumia vigezo kama gari lipo katika mazingira gani kwa maana ya barabara za eneo hilo ni lami,barabara za vumbi? mmiliki wa gari alikuwa analitumia kwa kazi gani na yeye mwenyewe ni mtunzaji mzuri? gari lilisha wahi kupata ajali? gari limetembea umbali gani(mileage)? huwa linafanyiwa service au mpaka liharibike ndo lipelekwe garage? Usidanganyike namba ya gari siyo kipimoHabari ya Jumamosi Wana JF
Wadau gari ipo arusha, ninachotaka kufanya ni ku exchange, ila utaniongezea pesa kidogo kama kichwa kinavyojieleza..
Asanteni
Habari boss, gari ipo maeneo gani ili niweze kukaguaNipe mil.10 nikupe Pick up Mitsubishi Colt single cabin ya mwaka 2002. Km 1600000,4WHD.
Nimeku pm,check pmHabari boss, gari ipo maeneo gani ili niweze kukagua
jina lako la katimu flani kapo ujeruman kanacheza bundesliga 2 ni kakali sna huwa nakabetia lazima kanipe matokeo ila sory npo nje ya madaNipe mil.10 nikupe Pick up Mitsubishi Colt single cabin ya mwaka 2002. Km 1600000,4WHD.
Watu wa biashara washaelewana wacha complicationsHakuna Namba B ila Kuna Herufi B