I isky JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 884 Reaction score 738 Sep 30, 2016 #1 Badala ya serekali kuteketeza mabilioni ya shilingi kujenga daraja la baharini posta to coco kwanini wasingejenga daraja kuunganisha upanga na kinondoni kwani kwa kufanya hivyo watasave pesa nyingi na msongamano utapungua salender maradufu???!!!!!
Badala ya serekali kuteketeza mabilioni ya shilingi kujenga daraja la baharini posta to coco kwanini wasingejenga daraja kuunganisha upanga na kinondoni kwani kwa kufanya hivyo watasave pesa nyingi na msongamano utapungua salender maradufu???!!!!!
J John Ntandu Member Joined Aug 4, 2016 Posts 49 Reaction score 19 Sep 30, 2016 #2 Yote yako kwenye ratiba usijali.
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 Sep 30, 2016 #3 Sku hizi nikisikia neno serikali naishia kukereka zaidi kuliko kufirahishwa