Nionavyo mimi

Nionavyo mimi

isky

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
884
Reaction score
738
Badala ya serekali kuteketeza mabilioni ya shilingi kujenga daraja la baharini posta to coco kwanini wasingejenga daraja kuunganisha upanga na kinondoni kwani kwa kufanya hivyo watasave pesa nyingi na msongamano utapungua salender maradufu???!!!!!
 
Sku hizi nikisikia neno serikali naishia kukereka zaidi kuliko kufirahishwa
 
Back
Top Bottom