Ikiwa tutauvunja muungano basi kizazi kijacho kitatuona kuwa tulikuwa wabinafsi na wapumbavu na kitaurejesha muungano, kwamfano watu za Tanzania Visiwani watakiona kisiwa chao ni kidogo sana kwa wakati huo haswa ikizingatia pia ongezeko la watu, hivyo basi watatamani kama bara na visiwani ingerudi kuwa moja ili wapate fursa za kujitanua kukabilia na wingi watu na kuwa na fursa zaidi juu ya mambo mbalimbali ikiwamo uongozi kwa wenye uchu wa uongozi kwani kutokana na udogo wa kisiwa na idadi ya watu kupata fursa kama za kiuongozi itawa adimu sana.
Tatizo litakuja wapi? Ni pale watakaposhindwa kuurejesha muungano huo ambao wengi wao watakuwa wanautamani, kutokana tu na tuliouvunja tuliuvanja kwa misingi na vigezo vya kutokuurejesha tena, na pia ikiwa visiwani wamevamiwa na mataifa yenye uchu wa onyajaji wa rasilimali za mataifa ya africa kutokana na au kupatikana kwa mafuta zanziba, au kutokana tu na jinsi Zanzibar ilivyo kwa sasa yaani wakaitamani tu kwa njisi ilivyo sasa kwamba panaweza pakawekezwa kwaajili ya shughuli za kiutalia na pakawa kama visiwa vingi duniani ambapo zinafanyika shughuli ya utalii, na hivyo mabwanyeye hayo yakaona kwamba kwa kuwapa fursa kwa sehemu hizi mbili kurudi katika muungano basi kuna maslahi yao yataguswa kwa namna yoyote na hivyo basi kupelekea kunyima fursa hiyo ya muungano na ilihali wananchi wanatamani kuwepo kwa muungano na mabwanyenye yanazuia. basi watanzania visiwani watajiona watumwa ndani ya nchi yao wenyewe.
Kwavile miongoni mwa faida za muungano ni usalama wa mipaka kwa nchi zote mbili, kuwa na nguvu kama za kiuchumi, hivyo basi Tujaribuni kuuenzi na kuudumisha muungano kwa kuondoa kero zote za muungano na hivyo kuuwezesha muungani kudumu na vizazi vijavyo vikauka na ikiwa vitaamua kuuvunja kwa wakati huo basi hiyo itakuwa ni shauri lao, labda pengine kwa wakati huo kutokana na hali ya dunia itakuwa imewalazimu kuuvunja basi na wauvunje lakini si sasa
Ninaposoma thread yako unanikumbusha mwanafunzi wa form six kwenye kipindi cha debate. Unachosema tuenzi muungano kwa sababu tukiuvunja kuna siku wazanzinzabari watajiona wamebanana na kukosa fursa za kujitanua kutokana na udogo wa nchi yao. Hakuna popote ulipoonyesha ni kwa nini na kwa faida gani Mtanganyika auenzi muungano. Sana sana anambiwa safari hii ni zamu ya Mzanzinzabari kuwa Rais wa muungano. Sijui ni lini itakuwa zamu ya Mtanganyika kuwa Rais wa Zanzibar. Swala la kurekebisha mapungufu ya muungano limepitwa na wakati. Watanganyika wachodai ni Tanganyika yao.
kwa vile ndo muono wako napenda kuuheshim sana lakini nahisi una upeo finyu zaidi wa kupambanua mambo kwa pande zote mbili badala ya kujivutia kwako.
unajua kila kitu kinasababishwa na uongozi mbovu kwa hiyo wananchi wanakuwa kama wana bahatisha labda muungano ukivunjika maisha yatakuwa yana ahueni kidogo pili kimsingi kabisa tanganyika tumeipa mzigo mzito zanzabar kwa huu muungano na ndio maana tumekuwa tayari jina letu tanganyika kufa zanzabar lipo palepale utakuta mtu anase muungano wa tanzania na zanzabar badala ya tanganyika na zanzibar au miaka 50 ya uhuru wa tanzania haya yote ni makosa tanzania haijawahi kupata uhuru ila imewahi kuungana tanganyika imewahi kupata uhuru na zanzibar vile vile ila kwa wakati tofauti
ikiwa tutauvunja muungano basi kizazi kijacho kitatuona kuwa tulikuwa wabinafsi na wapumbavu na kitaurejesha muungano, kwamfano watu za tanzania visiwani watakiona kisiwa chao ni kidogo sana kwa wakati huo haswa ikizingatia pia ongezeko la watu, hivyo basi watatamani kama bara na visiwani ingerudi kuwa moja ili wapate fursa za kujitanua kukabilia na wingi watu na kuwa na fursa zaidi juu ya mambo mbalimbali ikiwamo uongozi kwa wenye uchu wa uongozi kwani kutokana na udogo wa kisiwa na idadi ya watu kupata fursa kama za kiuongozi itawa adimu sana.
Tatizo litakuja wapi? Ni pale watakaposhindwa kuurejesha muungano huo ambao wengi wao watakuwa wanautamani, kutokana tu na tuliouvunja tuliuvanja kwa misingi na vigezo vya kutokuurejesha tena, na pia ikiwa visiwani wamevamiwa na mataifa yenye uchu wa onyajaji wa rasilimali za mataifa ya africa kutokana na au kupatikana kwa mafuta zanziba, au kutokana tu na jinsi zanzibar ilivyo kwa sasa yaani wakaitamani tu kwa njisi ilivyo sasa kwamba panaweza pakawekezwa kwaajili ya shughuli za kiutalia na pakawa kama visiwa vingi duniani ambapo zinafanyika shughuli ya utalii, na hivyo mabwanyeye hayo yakaona kwamba kwa kuwapa fursa kwa sehemu hizi mbili kurudi katika muungano basi kuna maslahi yao yataguswa kwa namna yoyote na hivyo basi kupelekea kunyima fursa hiyo ya muungano na ilihali wananchi wanatamani kuwepo kwa muungano na mabwanyenye yanazuia. Basi watanzania visiwani watajiona watumwa ndani ya nchi yao wenyewe.
Kwavile miongoni mwa faida za muungano ni usalama wa mipaka kwa nchi zote mbili, kuwa na nguvu kama za kiuchumi, hivyo basi tujaribuni kuuenzi na kuudumisha muungano kwa kuondoa kero zote za muungano na hivyo kuuwezesha muungani kudumu na vizazi vijavyo vikauka na ikiwa vitaamua kuuvunja kwa wakati huo basi hiyo itakuwa ni shauri lao, labda pengine kwa wakati huo kutokana na hali ya dunia itakuwa imewalazimu kuuvunja basi na wauvunje lakini si sasa
.........Kero kubwa kuliko zote ni kurejeshewa Tanganyika yetu, ili na watanganyika siku moja tuseme naam, ni zamu yetu kutoa rais wa Zanzibar, vinginevyo uvunjike ili wakabane makoo wao kwa wao kwamba hii ni zamu ya Wa-unguja na ile ya wa-pemba;

na wakishindwa kukabana makoo wataamua kujitenga kuwepo na raisi wa waunguja na raisi wa wapemba, tumeona mifano hiyo kwenye visiwa mbalimbali vinataka kujitenga vijitegemee ili tu kuweza kupata madaraka ya uraisi.........Kero kubwa kuliko zote ni kurejeshewa Tanganyika yetu, ili na watanganyika siku moja tuseme naam, ni zamu yetu kutoa rais wa Zanzibar, vinginevyo uvunjike ili wakabane makoo wao kwa wao kwamba hii ni zamu ya Wa-unguja na ile ya wa-pemba;
Ikiwa tutauvunja muungano basi kizazi kijacho kitatuona kuwa tulikuwa wabinafsi na wapumbavu na kitaurejesha muungano, kwamfano watu za Tanzania Visiwani watakiona kisiwa chao ni kidogo sana kwa wakati huo haswa ikizingatia pia ongezeko la watu, hivyo basi watatamani kama bara na visiwani ingerudi kuwa moja ili wapate fursa za kujitanua kukabilia na wingi watu na kuwa na fursa zaidi juu ya mambo mbalimbali ikiwamo uongozi kwa wenye uchu wa uongozi kwani kutokana na udogo wa kisiwa na idadi ya watu kupata fursa kama za kiuongozi itawa adimu sana.
Hili la kuongezeka watu liko kila pahala duniani hivyo tuseme mipaka ifutwe?
Tatizo litakuja wapi? Ni pale watakaposhindwa kuurejesha muungano huo ambao wengi wao watakuwa wanautamani, kutokana tu na tuliouvunja tuliuvanja kwa misingi na vigezo vya kutokuurejesha tena, na pia ikiwa visiwani wamevamiwa na mataifa yenye uchu wa onyajaji wa rasilimali za mataifa ya africa kutokana na au kupatikana kwa mafuta zanziba, au kutokana tu na jinsi Zanzibar ilivyo kwa sasa yaani wakaitamani tu kwa njisi ilivyo sasa kwamba panaweza pakawekezwa kwaajili ya shughuli za kiutalia na pakawa kama visiwa vingi duniani ambapo zinafanyika shughuli ya utalii, na hivyo mabwanyeye hayo yakaona kwamba kwa kuwapa fursa kwa sehemu hizi mbili kurudi katika muungano basi kuna maslahi yao yataguswa kwa namna yoyote na hivyo basi kupelekea kunyima fursa hiyo ya muungano na ilihali wananchi wanatamani kuwepo kwa muungano na mabwanyenye yanazuia. basi watanzania visiwani watajiona watumwa ndani ya nchi yao wenyewe.
Una maana visiwa kama Seychelles vilishawahi kutaka kuja kuleta maombi ya watu wake kuishi Tanganyika?
Kwavile miongoni mwa faida za muungano ni usalama wa mipaka kwa nchi zote mbili, kuwa na nguvu kama za kiuchumi, hivyo basi Tujaribuni kuuenzi na kuudumisha muungano kwa kuondoa kero zote za muungano na hivyo kuuwezesha muungani kudumu na vizazi vijavyo vikauka na ikiwa vitaamua kuuvunja kwa wakati huo basi hiyo itakuwa ni shauri lao, labda pengine kwa wakati huo kutokana na hali ya dunia itakuwa imewalazimu kuuvunja basi na wauvunje lakini si sasa
wazanzibari na Watanganyika wanajuwa vilivyo nini wanataka. Na kama Muungano ni kitu muhimu hivyo basi tusiwe wagumu kufanya Federation itakayowapa Wakenya, Waganda ,Waburungdi na Warwanda acceess ya ardhi ya Tanganyika