Niokoeni mwenzenu; Nauza kiwanja

Niokoeni mwenzenu; Nauza kiwanja

Njoo nikuuzie kiwanja mbezi msumi karibu na madale kwa bei ya shilling milion 5 tu hakuna udalali hapo 20*23 meters
 
Nilileta tangazo la kuuza kiwanja , lakini hajatokea mdau yoyoye wa kuweza kuniikoa. Kiwanja nakiiuzia shida inayonikabili ili nikaitatue.

Nilitaka kukiuza kwa bei ya millions 6, lakini sasa kutokan na muda umekwenda sana nimeamua kukiuza kwa bei ya hasara, nipeni millions 3.8 tu. Nilitegemea hili ndo jukwaa ambalo lingenisaidia mapema kutatua tatizo langu.


Kiwanja ni mitre 30×35, kipo Chanika mwisho, homboza.

Roho inaniuma sana nauza kitu changu afu sipati Wateja huku siku zimekwisha.


Mwenye kuhitaji anipe pesa nikatatue shida zangu nimpe kiwanja, ukiweza hata kesho tu njoo.

Mawasilano; 0786382988.

Nitashukuru sana mkinitatulia tatizo langu.
Nataka kiwanja, naomba niuzie kama bado kipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom