Niokoeni mwenzenu; Nauza kiwanja

Niokoeni mwenzenu; Nauza kiwanja

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,292
Reaction score
5,804
Nilileta tangazo la kuuza kiwanja , lakini hajatokea mdau yoyoye wa kuweza kuniikoa. Kiwanja nakiiuzia shida inayonikabili ili nikaitatue.

Nilitaka kukiuza kwa bei ya millions 6, lakini sasa kutokan na muda umekwenda sana nimeamua kukiuza kwa bei ya hasara, nipeni millions 3.8 tu. Nilitegemea hili ndo jukwaa ambalo lingenisaidia mapema kutatua tatizo langu.

Kiwanja ni mitre 30×35, kipo Chanika mwisho, homboza.

Roho inaniuma sana nauza kitu changu afu sipati Wateja huku siku zimekwisha.

Mwenye kuhitaji anipe pesa nikatatue shida zangu nimpe kiwanja, ukiweza hata kesho tu njoo.

Mawasilano; 0786382988.

Nitashukuru sana mkinitatulia tatizo langu.
 
Unaweza kuweka Link ya tangazo lako la kwanza??
 
Pitia uzi wako wa kwanza utaona ulivonijibu kwa dhalau nilipokwambia kwa eneo kama chanika bei uliyotangaza ni kubwa sana ukizingatia eneo na hali ya uchumi..
Nina viwanja huko dsm/homboza so niliongea jambo nililokuwa nalifaham

NB:Bei ya sasa uliyotangaza mteja utapata japo lazima atalia umpunguzie japo laki 2
 
Haina shida
 
Unaviwanja vingapi?

Kule mwanzo alikuwa unauza Kiwanja chenye ukubwa wa mita 30 kwa 40,

Uzi huu wa sasa unakiwanja lingine chenye ukubwa wa mita 30 kwa 35!!!

Unavyo viwili?
 
Mimi nikishapata picha ya kiwanja changu nitakiuza kwa milioni 3 tu kipo kibaha ni kikubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom