Niokoeni jamani!!!

Sasa wakija nifuma waombolezaji nipo uvunguni afu nipo na suti yangu ya Adam! Huoni utakuwa msala@Eve
Watajua umerukwa na akili kwa kifo cha bibi ila hawatajua tu uliingiaje humo na saa ngapi kila mtu anajua pilika za msibani ni nyingi hakuna mtu maalum wa kumlinda mwenzake
 
Yan bibi afie hospital maiti iletwe nyumbani? Wanazika usiku?

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kwa Hiyo nguo zimelaliwa na mwili wa bibi ila simu uliingia nayo uvunguni!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…