Danstan Jr.
Member
- Aug 29, 2013
- 7
- 0
Tiba ni rahisi sana kijana. Watu wenye matatizo kama yako inatakiwa mfanye kitu kimoja tu. Amka asubuhi alafu ufunge kama tunavyofunga sisi waislam mwezi wa ramadhan.
Ikifika jioni kula vyakula vyote. Ukiona hali haipo mchana anza kuruhusu vyakula vya aina moja tu mchana. Unaweza kuanza kwa kula ugali na mboga za majani tu mchana. Kama hali itakujia badilisha ugali labda kula ndizi. Ni aina ya chakula tu unachokula basi.
Pia ukienda haja kubwa jikamue hadi mwisho.
Alafu ukienda kwa wafamasia ukawaeleza tatizo lako watakupa dawa wao huwa wanafanya vitu simple na kwa mazoea kuliko madaktari na mala nyingi huwa inakuwa fine kwa matatizo madogomadogo.
je tumbo lina vimba yani unakuwa na gesi?
Je ushuzi unanuka sana?
Je ukila chakula ndo unaanza kujamba?
Kama ni baada ya kula je ni vyakula vya aina gani?
Je tumbo linauma?
Je unapata allergy kama macho kuwasha maskio kuwasha ngozi kuwasha?
tumbo mara zote huwa lina gesi nyingi sana,muda mwingne harufu ni mbaya sana,msaada
tumbo mara zote huwa lina gesi nyingi sana,muda mwingne harufu ni mbaya sana,msaada
mbana maswali mengine hujibu
does gas cause stomach pain
Pole sana Tatizo lako la kujamba linatokana na tumbo lako kujaa gesi inawezekana wewe pia una matatizo ya ukosefu wakutopata choo kikubwa kwa njia ya urahisi fanya hivi.tumbo mara zote huwa lina gesi nyingi sana,muda mwingne harufu ni mbaya sana,msaada
hapana sipat maumivu ya tumbo ila nakuwa na hali ya kutaka kutoa kila saa
mmh unashindwa kujielezea vizuri
but mara nyingi watu wenye tatizo kama lako huwa na overgrowth ya fungus wanaoitwa candida albicanas kwenye utumbo mkubwa (colon)
sabab ya hyo overgrowth ni pamoja na
kuishi maisha ya stress
kutumia dawa antibiotic (broad specrum) bila mpango na hivyo kuua bacteria wazuri (normal flora) wa tumboni ambao hu keep in chek na hao yeast/fangus (candinda albicanas)
nk
kwahyo basi maelezo ni marefu nakufupishia tu
kuna antifugal drugs mfano ketoconazole tablets 200g
ushauri ni miwili either ueende hospital kubwa mfano ya mkoa uwambie wakupime kimpimo cha damu kuchek yeast overgrowth au kipimo cha choo ndo kinatumika sana kuangalia yeast overgrowth
au uende phamarcy ukanunue hizo dawa nilizo kutajia hapo juu
Pole sana Tatizo lako la kujamba linatokana na tumbo lako kujaa gesi inawezekana wewe pia una matatizo ya ukosefu wakutopata choo kikubwa kwa njia ya urahisi fanya hivi.
Kila unapo amka Asubuhi kabla ya kula kitu chochote kunywa maji ya Uvuguvugu glasi 2 kisha nenda kapige mswaki
ukimaliza kupiga mswaki kunywa tena maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha kaa baada ya saa 1 kupita kunywa chai au chakula
cha asabuhi. kisha mchana kabla ya kula kitu kunywa tena maji ya uvuguvugu glasi 2 kisha kaa baada ya saa moja kula
chakula cha mchana. Kisha usiku kabla ya kula kitu kunywa tena maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha baada ya saa 1 kupita kula chakula
cha usiku. Na wakati wa kwenda kulala kunywa tena glasi 1 ya maji ya uvuguvugu kisha lala usingizi. Fanya hivyo kila siku
kwa muda wa siku 7 kisha uje hapa utupe feedback.
Duh....mmh unashindwa kujielezea vizuri