Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,033
- 2,307
Nenda ukawe padriWakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
Padri ni taasi tu mkuu. Nataka kufanya haya yanayonipa Raha na yanayoashiria kunipa ukuu hapo baadaeNenda ukawe padri
Huyo jamaa atakuwa billnass[emoji23][emoji23][emoji23]Wachaga wanashida gani kwani [emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya jinsi moyo wako unavokutumaWakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
Kila jambo lina wakati wake.Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
Shukrani mkuuKila jambo lina wakati wake.
Kwa maelezo uliyotoa ni hakika bado wakati wako sahihi wa kuo hujafika.
Ila hakikisha unapofikisha katika umri huu 30-35-40 usijefanya makosa.
Akili zako hazikutoshi! Utawezaje kumiliki mke?Wakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
Kama Akili ndio hitaji kubwa kwenye ndoa basi tungekua tunashuhudia ndoa nyingi humu mtaaniAkili zako hazikutoshi! Utawezaje kumiliki mke?
Unamaanisha nini hapa?Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia
Dunia Mbwana haikunipa malezi ya mzee Wala msingi wowote kutoka Kwa mzee. Dunia ilinipa malezi ya mama tu yaliyolenga elimu kama mkombozi bila ya msingi mwingine bad enough hata hio elimu sikufika kiwango cha kuweza kuonwa na ajira za makampuni pamoja na serikali. Dunia ikaenda mbali zaidi hata mama aliekuwa akinisomesha Dunia inamzungusha mafao yake. Unajua sometimes ukifikiria kuwa binadamu wanaweza kuwa sehemu ya wewe kukwama unaona hamna haja ya kuoa watoto Wao na kuwatunza kama mwanaumeUnamaanisha nini hapa?
Pole sana kwa changamoto hizo. Kwa ushauri wangu usioe kwa sasa. Kwa sasa unashughulika na nini?Dunia Mbwana haikunipa malezi ya mzee Wala msingi wowote kutoka Kwa mzee. Dunia ilinipa malezi ya mama tu yaliyolenga elimu kama mkombozi bila ya msingi mwingine bad enough hata hio elimu sikufika kiwango cha kuweza kuonwa na ajira za makampuni pamoja na serikali. Dunia ikaenda mbali zaidi hata mama aliekuwa akinisomesha Dunia inamzungusha mafao yake. Unajua sometimes ukifikiria kuwa binadamu wanaweza kuwa sehemu ya wewe kukwama unaona hamna haja ya kuoa watoto Wao na kuwatunza kama mwanaume
Hujui kama watu wajinga ndio huwa wanaodumu na Wanawake kwenye ndoa ukiona ndoa inadumu ujue Kuna mmoja kakubali kutawaliwaAkili zako hazikutoshi! Utawezaje kumiliki mke?
Hiyo haipo!oa ukisha hakikisha kuwa vingi ni vyako na sio vinginevyo!Na Ile ya kugawa 50 Kwa 50
Sana sana kibarua katika sekta ya ujenzi ila siku hizi nafanya mara chache Kwa Sababu kuna biashara ndogo ndogo za tution, Sanaa na teknolojia nazisetPole sana kwa changamoto hizo. Kwa ushauri wangu usioe kwa sasa. Kwa sasa unashughulika na nini?
Miaka 27 bado haujachelewa hebu fanya kuset life na uwe na chanzo cha kueleweka cha kipato. Baada ya miaka 3-5 angalia ulipofikia. Kuoa ni majukumuSana sana kibarua katika sekta ya ujenzi ila siku hizi nafanya mara chache Kwa Sababu kuna biashara ndogo ndogo za tution, Sanaa na teknolojia naziset
Acha ukabila ndugu yangu Raia mpyaUsijichanganye ukaoa mwanamke asiyekupenda au kabila la wachaga
UTAJUTA!
Kwa Mwamposanitampata wapi? Sasa