Mkuu Hongera sanaa.. Umekua sàsa... Bur nikushauri kitu... kulingana na umri wako ni umri sahihi wa kuoa but kama huna mchumba anza kwanza kujenga but usiende kasii... Jenga kulingana na uwezo wako yaani Pole Pole... Ndoa zina changamoto zake na Faida yale mimi sikuwa na mipango but kilicho nisukuma ni kupenda chini... so ilivuruga mipango mingi But kwanza nikuomba mungu upate mke mwelewa na mwenye akili ya maisha na mwenye hofu ya mungu.. Tatizo ni kumpata mwenye vigezo tajwa hapo juu..
Kigezo cha uzuri sijaweka coz kila mtu ana jicho lake...