HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 May 17, 2014 #41 Anza na pombe ya mnazi ili uanze kuzoea mazingira
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,603 Reaction score 860,778 May 18, 2014 #42 HARUFU said: Anza na pombe ya mnazi ili uanze kuzoea mazingira Click to expand... Mungu wangu HARUFU...! jamaa atanuka kikwapa mdogo haja kubwa na ndogo mpaka jasho! mnazi ni khabari nyingine ati
HARUFU said: Anza na pombe ya mnazi ili uanze kuzoea mazingira Click to expand... Mungu wangu HARUFU...! jamaa atanuka kikwapa mdogo haja kubwa na ndogo mpaka jasho! mnazi ni khabari nyingine ati
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 May 19, 2014 #43 mshana jr said: Mungu wangu HARUFU...! jamaa atanuka kikwapa mdogo haja kubwa na ndogo mpaka jasho! mnazi ni khabari nyingine ati Click to expand... mh .... Noma mkuu
mshana jr said: Mungu wangu HARUFU...! jamaa atanuka kikwapa mdogo haja kubwa na ndogo mpaka jasho! mnazi ni khabari nyingine ati Click to expand... mh .... Noma mkuu
Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,458 Reaction score 4,673 May 19, 2014 Thread starter #44 Malaika mimi said: Ha ha haaa mimi situmii, nimeomba picha kwa jirani. Alokwambia sukari nyingi huyo kazoea gongo, yeye na zanzi wapi na wapi! Click to expand... ha ha ha njia ya muongo ni fupi sana. sasa kwanini unabisha haina sukari nyingi wakati hunywi?
Malaika mimi said: Ha ha haaa mimi situmii, nimeomba picha kwa jirani. Alokwambia sukari nyingi huyo kazoea gongo, yeye na zanzi wapi na wapi! Click to expand... ha ha ha njia ya muongo ni fupi sana. sasa kwanini unabisha haina sukari nyingi wakati hunywi?
Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,458 Reaction score 4,673 May 19, 2014 Thread starter #45 mshana jr said: Mungu wangu HARUFU...! jamaa atanuka kikwapa mdogo haja kubwa na ndogo mpaka jasho! mnazi ni khabari nyingine ati Click to expand... baba kama ni hivyo sasa pombe ya nini? si bora tu ni mute!!
mshana jr said: Mungu wangu HARUFU...! jamaa atanuka kikwapa mdogo haja kubwa na ndogo mpaka jasho! mnazi ni khabari nyingine ati Click to expand... baba kama ni hivyo sasa pombe ya nini? si bora tu ni mute!!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,884 May 21, 2014 #46 Mlachake said: Nataka kuanza kunywa pombe. Ila sijui ninywe bia gani? Hebu nishaurini wadau. Click to expand... Kunywa pingu.......ni nzuri kwa kuanzia........😝😝😝
Mlachake said: Nataka kuanza kunywa pombe. Ila sijui ninywe bia gani? Hebu nishaurini wadau. Click to expand... Kunywa pingu.......ni nzuri kwa kuanzia........😝😝😝
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,088 Reaction score 72,506 May 21, 2014 #47 Subiri walevi wenzio wakushauriiiii mi napitaaaa
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,750 Apr 15, 2019 #48 Dinazarde said: Subiri walevi wenzio wakushauriiiii mi napitaaaa Click to expand... we mlevii!
Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,458 Reaction score 4,673 Apr 15, 2019 Thread starter #49 Preta said: Kunywa pingu.......ni nzuri kwa kuanzia........😝😝😝 Click to expand... Pingu ndio pombe gani??
Preta said: Kunywa pingu.......ni nzuri kwa kuanzia........😝😝😝 Click to expand... Pingu ndio pombe gani??