Ninyi mnaona nini????????

Binadamu watatu.. Tena Waafrika. Katikati ya barabara .Asante
 
nami natamani ningesimama nyuma ya huyo brodaa hapo tena upande wake wa kuume.
 
Mie nimeona miguu sita na masikio sita....
 
Professional player nukta..! Thats how they do it..!
 
Watu,mazingira ya uzinzi flani ivi !
 
Mimi naona jamaa ana wapenzi wake wawili wapo barabarani, mmoja kamkumbatia na mwingine anambusu huku akiwa ameshika kiuno chake na shavu la mwanaume.
 
Kuna mmoja napigwa changa la macho, gas inapelekwa Dar!
 
naona barabara ya lami ambayo Magufuli angeikataa
 
Naona barabara ya lami ambayo Magufuli anatakiwa kuitakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…