Single maza wamezidi!Mkuu kukuchapiwa ni kuchapiwa tu haijalishi
X zao na wazaz wenzao wanawapiga sana
Single maza wamezidi!Mkuu kukuchapiwa ni kuchapiwa tu haijalishi
Si kwamba mnagubuNafikiri labda sababu nyinyi ndio wengi zaidi kwa hiyo makosa yenu huonekana kwa urahisi zaidi.....ukiachilia mbali hicho mnachokiita akili za 'mfumo dume'.
Tena kweli mkuu afu hao hao watoa mada wanajisahau kuwa wana mama zao ambao pia ni wanawake, wana Dada zao ambao pia ni wanawake mbali na hao wana wake zao pia. Mwanamke mmoja anawakilisha wanawake wa dunia nzima, hao hao mnaowaita wachafu hawafai bla bla kibao ndio waliowaleta ninyi duniani, jifunzen kuwaheshimu wanawake kwani bila wao msingekuwepo na wala msingekuwa na jeuri ya kutype na kuwakashfu! NANI KAMA MAMA NANI KAMA MWANAMKE, ni hayo tuSio haki mkuu kwanini kila kasoro wao? Tena hamuwaambii kistaarabu
hahahaha hapana aisee...labda kwa baadhi tu.Si kwamba mnagubu
Wanaume wa siku hizi midomo yao haina breki,Tena kweli mkuu afu hao hao watoa mada wanajisahau kuwa wana mama zao ambao pia ni wanawake, wana Dada zao ambao pia ni wanawake mbali na hao wana wake zao pia. Mwanamke mmoja anawakilisha wanawake wa dunia nzima, hao hao mnaowaita wachafu hawafai bla bla kibao ndio waliowaleta ninyi duniani, jifunzen kuwaheshimu wanawake kwani bila wao msingekuwepo na wala msingekuwa na jeuri ya kutype na kuwakashfu! NANI KAMA MAMA NANI KAMA MWANAMKE, ni hayo tu
Wengi wenu mnaongea sanahahahaha hapana aisee...labda kwa baadhi tu.
Yaani wanakera sana kutwa mara mawigi machafu, mara mikorogo, mara k zinanuka wanasahau kuwa hizohizo k zinazonuka ndizo zilizowapitisha mpka kuja duniani! Yaani mm mwanaume anaemsimanga mwanamke ananitia uchungu sana[emoji24][emoji24]Wanaume wa siku hizi midomo yao haina breki,
Hata mambo ya sirini wanaongea hadharan,
Ule uanaume hawana
Sijui miaka 20 ijayo wwtakuwaje
nadhani shida sio wao kuongea bali uwasilishwaji wa mawazo yao ndio tatizo sivyo?Wengi wenu mnaongea sana