Naomba ushauri kwa wataalam na wazoefu wa laptop(pc), nahitaj kununua pc mpya ya dukani,Mini laptop yenye mlango yaani sehem ya kuweka cd, bajeti yangu ni laki3.Nje na chager capacity,hard disk size, ni vitu gani nizingatie, pia aina gani ya kampuni nzr.
Natanguliza shukrani zangu za dhati na Mungu awabariki wataonishauri vema.
Sent using
Jamii Forums mobile app