Ninunue gari lipi kati ya hizi?

Ninunue gari lipi kati ya hizi?

una umri gani mkuu? kama upo above 30+ tafuta NISSAN-DUALIS ili uweze kupata heshimu mtaani na kazini, mimi kuna ela naisikilizia ikiingia tu nataka kuvuta chuma aina iyo ya DUALIS
wabongo kwa michongo ya kusikiliza hatujambo
 
Hilo sio tatizo tena nakuhakikishia!

Chagua EAPGS!

EAPGS ni nani?

Sisi ni waagizaji wa magari, kutoka japan, uingereza, Thailand na South Africa.

Na kwa asilimia kubwa sana, wateja wetu wengi thnawaagizia kutoka kamouni kongwe na bora kabisa ya uuzaji na usafirishaji wa magari
, BE FORWARD JAPAN.

Kwanini Uagize na EAPGS ?

Uharaka na uaminifu wa hali ya juu sana, zaidi sana tunakuwezesha kukupatia mkopo wa manunuzi ya gari lako ( Tunalipia gharama za ushuru ) kisha wewe mteja utaturejeshea kila mwezi kwa muda wa miezi 12, gari lako ukiwa nalo mwenyewe.

muhimu tu, uweze ku-afford gharama za manunuzi na usafirishaji wa gari lako hadi hapa bandarini.

Huna sababu tena ya kupata stress

kazi ni kwako,

EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
WHATSAPP
+255 682 274 097
Riba ni kiasi gani mkuu?
 
Upigaji huu..
 
Naomba ushauri wana Jf,

Hasa mnaomiliki gari aina ya Vitz pamoja na Passo. Madereva wazoefu pia wa magari mnaweza kunisaidia kunipatia ushauri. Nina 5M, je ninunue gari gani (second hand) Kati ya hizi mbili Passo au Vitz old Model?

Ninahitaji gari la kupigia misele ya town kwenda kazini nk,lengo langu ni kununua kutoka kwa mmiliki wa Gari husika na sio Dalali.
 
Ni gari nzuri sana kama hauna safari nyingi ndefu naitumia mimi toka 2016 nlianza na second hand baadae nikanunua mpya na sasa naiuza
 
Back
Top Bottom