Ukiwa unaendesha mwenyewe na unakomaa kwa siku nzima unaweza kulaza 30,000 kwa siku.(INAWEZEKANA)
Zidisha mara siku 28 hizo siku 2 ni za service kwa maana siku 1 kila baada ya wiki 2.
Tena nunua bajaji ya million 4 hiyo million ya ziasa piga service na ulipie vibali.
mndani ya mwaka unapata bajaji mpya.
ushauri.
LENGA BAJAJI KWA MWENYEWE USINUNUE KWA MADALALI UTAPIGWAAA