Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Kungwi Wekà picha picha basi
Hizi ndizo akili za UZINZI na UASHERATI zinavyotamalaki. Kwa hiyo wewe ukitembea barabarani unawaza kutongozwa tu basi hakuna kingine. Unawafundisha wenzako wavae mavazi hayo ili watongozwe na wapate mabwana wengi?Kadiri ziwa linavyotikisika ndivyo na moyo wa mkaka anayekuangalia unavyotikisika ndani ya kifua chake. Mi nakwammbia hachomoi, lazima aseme neno tu. Kama domo zege ataambulia japo kukusalimia.
Mwanamke kutongozwa ni suna, na ni wajibu wa mwanaume kumtongoza mwanamke popote anapojisikia kufanya hivyo na ili afanye hivyo lazima mwanamke avutie.Hizi ndizo akili za UZINZI na UASHERATI zinavyotamalaki. Kwa hiyo wewe ukitembea barabarani unawaza kutongozwa tu basi hakuna kingine. Unawafundisha wenzako wavae mavazi hayo ili watongozwe na wapate mabwana wengi?
Wanawake wenye akili kama zako na mawazo kama yako ni kikwazo kikubwa sana kwenye jamii ya watu waliostaarabika. Ninyi ndiyo kikwazo kwa wanaume na ndiyo mnasababisha mmomonyoko wa maadili.
Mkuu Musundi imeandikwa; "ikimbieni ZINAA". Dini zote zinakemea vitendo vya UZINZI na UASHERATI!
Najivutiaga mwenyeweWw unamvutiaga nani?!
Najivutiaga mwenyewe
tuheshimiane mkuu huyo shemeji yakoWw unamvutiaga nani?!
tuheshimiane mkuu huyo shemeji yako
No,sio uchoyo. Kuvaa ili umvutie mtu ni utumwa wa fikra,labda kama una malengo mengine nyuma ya pazia, mie navaa ili nipendeze,nikijiangalia nifurahi kuwa nimependeza, namvutia mtu ili iweje, n anipe nini...Uchoyo huo ww
No,sio uchoyo. Kuvaa ili umvutie mtu ni utumwa wa fikra,labda kama una malengo mengine nyuma ya pazia, mie navaa ili nipendeze,nikijiangalia nifurahi kuwa nimependeza, namvutia mtu ili iweje, n anipe nini...
Wooi...Kuna mtu akiona umevaa umependeza moyo wake nae unafurahi ujue
Wooi...
Apambane na hali yake bana
Mwanamke vaa suruali ya kubana ya kitambaa laini cha dera na ikiwezekana usivae chupi!
Hapo you'll get all the boys to the yard!
Ndo maana tunakimbilia kwa wale wavaa hijabu unakuta kitu mwemwele mwemwele yaani hata usafi wanajua utakutana na mtoto ananukianukia unaweza dhani huyu ni jini au nini yaani mnafanya nae na unaoga lakini bado ukijinusa unanukia yale manukatoShoga zangu, leo nawamegea machache ya kikungwi japo ukingwi sio taaluma yangu. Nashea na nyie tu yale yatokanayo na uzoefu wangu wa maisha.
Nasema na nyie wadada mnaodhani kwa kubana hayo makalio yenu na jinzi za kubana mpaka dimpoz za matak[emoji767] zinasomeka eti ndo wanaume watakupenda nakukuaproach. Niamini, na wakaka wamo humu watanikosoa kama nawaongopea. Wakaka wanapenda VITU LAINI.
Ukilibana tak[emoji767] lako na skin jeans, ulaini wake hauonekani. Matokeo yake unaonekana kama umefunga jiwe huko nyuma haijalishi una nundu kubwa kiasi gani. Matak[emoji767] yako ni mawili lakini sababu ya kubanwa linaonekana kama 1. Mkaka atavutiwaje hapo??!!
Raha ya matak[emoji767] yako mdada yaonekane yanavyotikisika unapotembea kwa hatua za kike.
Unakuta mdada ziwa bado saa 6 limesimama wima 90° from the horizontal plane, lakini ati analivalia brazia, linaonekana gumu kama umebeba vifuu vya nazi kifuani?!! Ulaini wake hauonekani. Mna tabu gani nyie wadada!!
Kwa taarifa yako basi, wakaka wanavutiwa zaidi wanavyoliona ziwa likitikisika kufuatia miondoko yako ya kike. Kadiri ziwa linavyotikisika ndivyo na moyo wa mkaka anayekuangalia unavyotikisika ndani ya kifua chake. Mi nakwammbia hachomoi, lazima aseme neno tu. Kama domo zege ataambulia japo kukusalimia.
Nisiwachoshe shoga zangu, kwa leo haya yanatosha. All the best nyote. Tchaoooooo.....!!!
Anamaanisha msivae vyupi muwe mnavaa na bukta ndaniHahaa. Mi ninachojua matako hata yawe madogo vipi ni lazima yagawanywe mara mbili.