Nini umuhimu wa kuwa developer?

Nini umuhimu wa kuwa developer?

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,822
Wataalamu humu??

Ukienda kwenye build number katika setting ya Simu Wanadai wenyewe ukibofya haraka haraka mara 7 unakuwa tayari developer, sasa naomba kujua ukishakuwa huyo developer unaweza kufaidika nini katika matumizi ya simu?
 
Hii huwa ni special kwa wale wanaodevelop application za sim , mfano Android application
 
mambo ni mengi sana
kama
1. kumock location
2.kuistall TWRP
3.kuflash custom rom n.k
 
Back
Top Bottom