Ivo Sabasi IS New Member Mar 1, 2018 2 0 Mar 2, 2018 #1 Nini ukweli wa app ya "credit fund'' association"? Nini ukweli wa app ya "credit fund'' association"?
Nini ukweli wa app ya "credit fund'' association"? Nini ukweli wa app ya "credit fund'' association"?
C CRYPT JF-Expert Member Jan 26, 2014 331 700 Mar 2, 2018 #3 Kwa mbaali naskia harufu ya watu kuingizwa mjini........
Bishop Hiluka JF-Expert Member Aug 12, 2011 7,141 14,687 Mar 2, 2018 #4 Isije ikawa DECI nyingine, maana Wabongo kwa kubuni njia za kupata pesa za ujanja ujanja hatujambo...
Isije ikawa DECI nyingine, maana Wabongo kwa kubuni njia za kupata pesa za ujanja ujanja hatujambo...
C commando general Member Jan 13, 2018 43 25 Mar 2, 2018 #5 Kopa milioni 10,upate bajaj moja bure!akili za kuambiwa changanya na za kwako
MastaKiraka JF-Expert Member Jan 10, 2015 4,950 15,538 Mar 2, 2018 #6 Watanzania tumekua wajinga sana. Inasikitisha kuona / kuja kusikia watu wametapeliwa kizembe namna hiyo.
Watanzania tumekua wajinga sana. Inasikitisha kuona / kuja kusikia watu wametapeliwa kizembe namna hiyo.
C chiefkwanza Member Apr 16, 2012 26 24 Mar 2, 2018 #7 Waongo hao hawana ofisi kigamboni hayo maeneo ndio nakaa mimi hamna kitu kama hicho