Nini Tofauti ya LED Smart HD HDMI LCD 3D TV?

Nini Tofauti ya LED Smart HD HDMI LCD 3D TV?

Hebu weka statement yako vizur maana haueleweki unataka tofauti ya kipi na kipi
 
Nataka kujua tofauti ya LED TV smart TV HD TV HDMI TV?
 
Nataka kujua tofauti ya LED TV smart TV HD TV HDMI TV?
Samahani. Bado sijakuelewa kwasababu hiyo ulioitaja bado ni aina moja ya TV.
Ulimaanisha kati ya LED Smart TV HDTV v/s aina gani?
 
Ukitaka tofauti inatakiwa kuwe na kitu X na kitu Y, sasa hapo unataka tofauti ya nini na nini? Duh kazi kweli
 
HDMI Sio Tv Ila Ni Tundu La Kutolea Au Kuingiza Picha Kuoka Vifaa Vingine HdMI Na Vga Yapo Sna Kwenye Pc!! So ukiona na tv iNa hdmi Port It Meanss unaweza itumia kama monitor!! Pia Kama Decoder/ receiver yako ina HDMI unaweza kuitumia Kwenye Monitor ya Pc!!
 
hdmi is just a port.... kuhusu technology kama ni tv mbili tofauti boss sawa LCD na LED ndio tofauti apo.... LED ni teknolojia latest kuliko LCD..... kwa uchambuiz zaid ni
LCD - liquid crystal display ( old technology)
LED - light emitting diode ( current technology)

so kama unataka nunua tv ya kisasa zidi we chagua yenye LED technology... issue ya HDM ni port tu ambazo hata LCD nadhan pia iyo port ipo!!!
 
HDMI Sio Tv Ila Ni Tundu La Kutolea Au Kuingiza Picha Kuoka Vifaa Vingine HdMI Na Vga Yapo Sna Kwenye Pc!! So ukiona na tv iNa hdmi Port It Meanss unaweza itumia kama monitor!! Pia Kama Decoder/ receiver yako ina HDMI unaweza kuitumia Kwenye Monitor ya Pc!!

Thanks nilikua najiuliza maswali lukuki kuhusu hlo.
 
Back
Top Bottom