Nini tofauti na maana kati ya ndoto na maono?

Asovene

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
213
216
Nikiu yangu kupenda kujua hili kwa maana najua hapa kuna wana zuoni tena wa dini tofauti tofauti kwanini tunaota tena tukilala,kwa nini hatuoti tukiwa macho na maono je hapo ndo nachanganyikiwa lakini mh.admin niwekee mada hii ili nisaidiwe elimu ya ndoto na maono.
natanguliza shukrani
 
Hapo umeuliza mambo mengi sana ila nakujibu hivi:
Maono ni ndoto tofauti kabisa. Huotwa ukiwa macho. Huoneshwa ukiwa huna hata lepe la usingizi. Unaoneshwa mambo yaliyopo tiyari au yajayo. Yliyopo tiyari yawezekana ni watu wanakuvizia sehem flan unakoelekea. Hivyo unaoneshwa ili ujikinge au ujitayarishe kupambana nao. Vita ka hiyo, utashinda tu kwa sababu unazijua silaha zao.
Ndoto: Hukujia usingizini. Mara nyingi hutokana na marudio ya mambo uliyo yaona au kuyasikia au kuyahisia. Hapa mara nyingi ndoto ka hizo hazina maana yeyote bali kukuchanganya tu.
Ndoto za maonyo huja kitofauti kabisa. Huja kimafumbo nazo zitakusumbua sana hata baada ya kuamka. Unaendelea kuteseka moyoni hadi ufumbuliwe fumbo hilo. Utakapo mueleza mfumbuzi, akikufumbulia hakika unapata amani hata ka jambo alilokuambia ni baya. Kwani unakuwa na nafasi ya kujirekebisha.
Si kila ndoto ni ya maana lakini kila maono huwa ya maana.
 
Umesema vema kabisa. Sasa huyu mfumbuzi ni nani au naweza kumpata wapi na najuaje kwamba ni mfumbuzi kweli?
 
Umejibu vema
Maono ni kuona (mubashara) na ndoto ni kuota - [na bila shaka ndoto huja wakati tumelala usingizi.]
 
Umesema vema kabisa. Sasa huyu mfumbuzi ni nani au naweza kumpata wapi na najuaje kwamba ni mfumbuzi kweli?

Jodeo;
Mara nyingi sana huwa nawaambia watu kuwa; Kwa kuwa ndoto/maono yako yalitoka kwa Mungu, mrudie yeye umwombe aseme nawe kwa wazi wazi. Huwa anafanya hivyo. Hata Bwana Yesu aliwafumbulia wanafunzi wake ile mifano.
Kwa upande mwingine, Roho Mtakatifu akuongoze kwa kiongozi wako wa kiroho,haswa mchungaji wako naamini Mungu atampa neno la maarifa naye atakufumbulia. Nimewasaidia wengi tu kuwafumbulia
 
nakushukuru mkuu unaweza kunisaidia vifungu vya biblia nijiongeze mwenyewe?
 
Mkuu;
Kwa kuanza tu soma Mwa. 40 uone jinsi ndoto ya Kiungu hukusumbua hata kama unataka uipotezea. Soma Mwa 41 uone ndoto inavyokuletea ujumbe na haswa ule unaokuja mapema tu. Ndoto ikirudia rudia mapema jua kuwa anachokuambia Mungu ki karibu sana.
Kitu cha kufurahisha ni kwamba; Mungu hutuonesha kwa ndoto ili tuyashinde si kutuogofisha. Hata ungeliota kuwa kuna mtu fulan anakutakia mabaya. Usiogope wala kumchukia kwa sababu Mungu hukuonesha ili umshinde kiroho idhihirike kimwili. Hapa ndipo wengi hupotelea. Mungu amekuonesha mbaya wako wewe unaenda sasa kupambana naye kimwili. Huo sio mpango wa Mungu. Mteke nyara kiroho, umdhoofishe kiroho, akikuona anaanza kujiharishia tu kwa kuwa anakuona kama mlima mkuubwa unaomjia kummaliza.
Ningelifurahi sana Bwana siku moja akuoneshe mbaya wako halafu ummalize kiroho ndipo ukutane naye umwangalie anavyo babaika. Yaani hadi rahaaa.
Ukienda kwa mwalim/kiongozi wako kuomba akutafsirie akikuomba favor yeyote iwe fedha au hata aksante ya maneno huyo hajijui aliko. Tafsiri huja kutoka kwa Mungu tena haiko juu ya mtu fulani. Hata weye Mungu aweza kukutumia unitafsirie ndoto yangu
 
Kwa ufupi, vyote vinahusu kuona jambo lililositirika ambalo litatokea, linatokea au lilikwisha tokea mahala fulani ili kupata ufumbuzi au tu aliyeonyeshwa ashirikishwe kwa namna moja ama nyingine.Vyote huhusisha macho ya rohoni(mawazo au akili ya mtu),lakini ndoto hutokea wakati mtu amelala usingizi huku maono hutokea wakati mtu yuko macho.
 
Back
Top Bottom