Martchaz chaz mart
Senior Member
- Nov 22, 2016
- 177
- 95
Napenda kujua ni nini tofauti ya Chuo cha afya kilichosajiliwa kwa jina la
Nursing school
au kwa jina la
school of nursing
Na MTU akituma maombi NACTE. akajikuta kachaguliwa Chuo Fulani. Je huyu MTU atakua kachaguliwa na uongozi Wa Chuo husika ama amechaguliwa na watu Wa NACTE??? Au huwa inakuaje hapo.
Please naombeni kujua aseee.