Dr. Martin Luther King Jr. Aliliona mapema, akawaambia watu wa 'type' ya Mkoba : "If you are not ready to die, don't go to a war" Mkoba ameingia vitani huku akijua kuwa hayuko tayari kufa. Na hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Fisi Mkoba na Shujaa Ulimboka.mahakama ya kazi toka kuanzishwa kwake haijawahi kutamka mgomo wowote ule dhidi ya serikali kuwa halali, leo hii
mkoba anapowaambia waalimu watii amri ya mahakama ya kazi alikuwa na maana gani kuwaingiza ktk mgomo in the first place wakati anajua wazi serikali itakwenda kwa maajenti wao kuwaelekeza kusimamisha mgomo.
nashindwa kumuelewa mkoba kwamba hayuko tayari kuisikiliza wizara ya elimu lakini yuko tayari kuisikiliza mahakama ya kazi ambayo inaendeshwa kwa mkono wa serikali hiyo hiyo ?? shujaa ulimboka aliliona hili lakini dhaifu mkoba hakuliona. kama ulikuwa huko tayari kuisikiliza mahakama kwanini ulianzisha mgomo in the first place??
ushauri binafsi kwa mkoba.
siku zote unapoanzisha mgogoro naserikali basi uwe tayari kupambana na serikali na maajenti wake wote ikiwemo mahakama ya kazi kama alivyofanya ulimboka ama sivyo utakuwa unawapotezea walimu na wanafunzi muda wao
bure kwa kitendo chako cha kukataa amri ikitolewa na mkono wa kushoto lakini huko tayari kutii amri ikitolewa na
mkono wa kulia.
majina pia ni tofauti
Dr. Martin Luther King Jr. Aliliona mapema, akawaambia watu wa 'type' ya Mkoba : "If you are not ready to die, don't go to a war" Mkoba ameingia vitani huku akijua kuwa hayuko tayari kufa. Na hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Fisi Mkoba na Shujaa Ulimboka.
tehe. tehe.tehe. nimeipenda
hiyo. Tofauti nyingine, Mkoba anaheshimu maamuzi ya kisheria, Ulimboka
anatumiwa kirahisi na vibara wa ndani na nje.
mkoba ni mwajiriwa wa serikali. ulimboka kaajiriwa na ngo
Mmoja alichagua career na mwingine alichaguliwa career na jamhuri...
Mmoja ni mpambanaji mmoja ni coward..
Mmoja ni jasiri wa asili,mmoja ni wasiwasi,
Mmoja ahongeki,mwingine anahongeka...
Maamuzi ya mkoba yanazidi kudhihirisha kuwa walimu ni watu waliofeli katika steji moja ama nyingine ya elimu...
mahakama ya kazi toka kuanzishwa kwake haijawahi kutamka mgomo wowote ule dhidi ya serikali kuwa halali, leo hii