Nini tiba ya ugonjwa wa baridi yabisi ama rhumatisim?

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
245
Habari wandugu ninatatizo la baridi yabisi ni nini dawa yake maana wamenambia hospitali hamnaga dawa zaidi ya antpain. Najisikia mwili unaungua moto hasa sehemu za baridi, kwenye joint hasa magoti yanauma hatabkutembea kazi nateseka kwa ujumla nisaidie mwenye kujua.
 
Wakikupa majibu na mm naomba nidokezeee mkuu
 
Du watu humu lah wameview watu 33 lkn hajajibu mtu, dr mzizi mkavu naomba msaada wako
Mkuu kumbuka hili ni jukwaa linalo hitaji werevu wa hali ya juu ama mtu kuwa alishawahi pata tiba kama hiyo ili akupe jibu. Hivyo usistuke na views
 
Dawa Hospitali zipo za Kichina, niliwahi kutibiwa kwa kupewa vidonge nikatumia kwa zaidi ya mwezi na baadae nikachomwa sindano kwa wiki mbili kila siku sindano moja.
 
Dawa Hospitali zipo za Kichina, niliwahi kutibiwa kwa kupewa vidonge nikatumia kwa zaidi ya mwezi na baadae nikachomwa sindano kwa wiki mbili kila siku sindano moja.
Mkuu ni hospitali gani na ni mkoa gani, nisaidie mkuu nateseka sana
 
Dk mzizi mkavu.mm naumwa viungo sana.yaaan nmekua ni mtu wa kumeza dawa za naumivu ndio niende mihangaikoni.hospital nimepima vupimo vyote adi uric acid na io baridi yabisi lakini sina ila viungo vinauma adi kulala bila dawa ya maumivu siwezi yaaan.miguu inauma kiuno usiseme.mikono pia inauma adi kidole kimoja kimevimba.mkono misuli ya vidole kupanda juu inauma adi kuna mda nashindwa hata kuvaa nguo adi nmeze dawa za maumivu ndio napoa angalau.nini inaweza kua tatizo??week ya pilu sasa nmeacha pombe na kula aina yoyote ya nyama nyrkundu lakini hali tete.msaada pliz
 
Omba rufaa uende KCMC au Muhimbili hiyo ni dalili ya rheumatic disease unapatikana maeneo yapi kama niya baridi jitahidi uamie sehemu yenye joto, je una tatizo la matezi kuvimba.
 
Jaribu kutumia blackseeds oil, nadhani ni dawa bora sana miongoni mwa tiba mbadala.
 
Bro hiyo ni barid yabis niliangaika mwaka juzi kila hospital sikupatikana na tatizo mwisho ukagundulika hapa zenji na mtaalamu wa mifupa.sasa hivi naishi kwa masharti sina tatizo Mungu anasaidia
 
Bro hiyo ni barid yabis niliangaika mwaka juzi kila hospital sikupatikana na tatizo mwisho ukagundulika hapa zenji na mtaalamu wa mifupa.sasa hivi naishi kwa masharti sina tatizo Mungu anasaidia
Nimepima hospital io baridi yabisi lakini vimeonyesha hakuna adi kipimo cha uric acid nimefanya lakini kimeonyesha ni normal.inawezekana vipimo vinakosea wakati ugonjwa upo??
 
Nimepima hospital io baridi yabisi lakini vimeonyesha hakuna adi kipimo cha uric acid nimefanya lakini kimeonyesha ni normal.inawezekana vipimo vinakosea wakati ugonjwa upo??
Kaka sikufichi kinachokutokea wewe leo ndio kilichonotokea mimi na nina baadh ya hospital nikienda hadi leo wananiambia sina huo ugonjwa.hebu chukua namba yangu tushauriane labda ukifata mashart kama yangu unaeza pata nafuu
 
Jaribu kutumia blackseeds oil, nadhani ni dawa bora sana miongoni mwa tiba mbadala.
Mimi nilisha itumia sana black seed oil lkn nikama panado inatuliza tu siku mbili tatu maumivu palepale
 
Mimi nilisha itumia sana black seed oil lkn nikama panado inatuliza tu siku mbili tatu maumivu palepale
Blackseeds oil, ni moja ya tiba za asili, matokeo yake yaweza yasiwe ya haraka kama unavyokusudia lakini yanaweza kuwa ya uhakika zaidi. Kuliko matumizi ya dawa za chemikali ambazo bila shaka huenda zikaongeza tatizo sikunza usoni.
 
Straight to the point...Tumia NAT B Tab.1 tab twice per day for one moth pamoja na osteocare tablet...one tablet once per day for one month...Tumia ethylchrolide spray kupulizia sehemu zenye maumivu...Dawa kama indomethacin caps utatumia pia kwa dose ya 50mg twice per day kwa wiki mbili.Shida ikieendelea au bila kupata relief nenda hospital vema kama utampata physiotherapist.
 
Huu ugonjwa ulinisumbua sanaaa.
Ila sasa hivi sijawahi kuusikia tena.

Nitakutafuta mama kujua kuwa wewe hali ipoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…