Mimi ni mikono na miguu na nikikanyaga chini ni kama miba. Haya ni maradhi ya utu uzima hayaambukizwi na ukienda hospitals utaambiwaWakuu habari zenu
Nina tatizo la magoti yangu yanakuwa Kama yanawaka moto wakati nimetulia. Lakini wakati naendelea na shughuli zangu sisikii hilo tatizo.
Je tiba yake n nini hasa