jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Tanesco imetoa tamko gani kuhusu kukatika kwa umeme jana wakati bunge likiendelea? Ama walifanya kwa makusudi mazima? Halafu leo saa kumi macho ya wananchi wote yatatazama kujua hatima ya sakata hili la Escrow, hivyo wanaweza kufanya kama jana kukata Tanzania nzima kwa kauli ya mbunge mmoja wa Chadema niliyeongea naye kwa njia ya simu.
Last edited by a moderator: