Kwa ushauri wangu waharaka na kukusaidia muone daktar wa saikolojia akupe vdonge uwaze doz mapema sanaWasalaam,
Watafsiri ndoto, watu wa Imani, manabii, wanajimu....n.k, naombeni msaada wenu...
Kuota uko shule kwenye mitihani na hukujiandaa Kwa ninavofahamu ni kuwa Kuna mambo hayako sawa pia huenda huyyatilii maanani lakini ni ya msingi sana unatakiwa uongeze bidii na ufanye sana maombi
Fanya sana ibada
Shukrani.....Ya pili inawakilisha Stagnation spirit na spirit of backwardness. Yaani maisha yako ukiyaangalia unakuta unapiga hatua moja mbele halafu kumi nyuma. Nduo maana unaona hizo za kurudi shule au mahali ulipokulia.
Ya tatu inawakilisha spirit of failure at the edge of breakthrough, au almost there but never there. Yaani ktk ulimwengu wa mwili huwa vitu vyako vikikaribia ku mature vinaharibika.
Hizo ndoto zilinitesakwa muda murefu sana pia nikapata msaada wa maombi.
Wasalaam,
Watafsiri ndoto, watu wa Imani, manabii, wanajimu....n.k, naombeni msaada wenu.
Ipo hivi.....
Kuna aina ya ndoto nimekuwa nikiota kwa muda mrefu sana kwenye maisha yangu, over 7+ years, nashindwa kuelewa maana yake na kwanini zimekuwa zikijirudia kwa namna yake kwenye hali tofauti tofauti.
1. Inatokea Kuna msala mkubwa nakuwa nimefanya then nakuwa most wanted, natafutwa na mamlaka kila mahali, ndoto nzima nakuwa nahangaika kukimbia na kujificha either maporini, kwenye misitu mikubwa n.k uwoga na wasiwasi ndio vinatawala mpaka nitaposhtuka usingizini.
2. Kuna ndoto hunijia ikinirudisha kipindi cha shule hasa chuo/high school, let's say naingia kwenye mtihani kwa kushtukizwa nikiwa sina ninachokijua, moyo unajawa na woga, mfadhaiko, simanzi mpaka nitaposhtuka,
Upande mwingine..... shule imefunguliwa (boarding school) asubuhi ya kuingia darasani wakati watu wanajiandaa mimi nagundua sina uniform either shati ama suruali na nakosa option zaidi ya kuchanganyikiwa, kuingia na uwoga, majuto, simanzi na mahangaiko ya nafsi mpaka nitaposhtuka usingizini (hii ndoto imekuwa ikijirudia mara nyingi zaidi).
Ebu mnijuze wakuu kama kuna mtu ana ujuzi wa mambo haya, tafsiri, experience n.k.
Wasalamu.
Mla Bata.
Mshana Jr Rakims Bujibuji Simba Nyamaume
Nourhan, Ahsante!Namba Moja unafatiliwa sana na wachawi,fanya sana ibada jikabizi kwa Mungu usisahau kutoa sadaka.
La pili ni mikwamo tu ya kimaisha kurudi nyuma kimaendeleo.
Namba tatu na 2 ni kitu kimoja.
Yes ndo maana nikakujibu usioge ukiwa na Mungu nani wa kukuumiza??!Nourhan, Ahsante!
Hiyo ya kwanza imenitisha Sana, umewahi kusikia kwa watu ama kuexperience wewe mwenyewe before?
Namba mbili na tatu Kuna kitu specific natakiwa kufanya?
I'm try to say ths boy is fucking disease I thinx must go to check the healthWhat are you trying to say???
Shukrani, nitamtamfuta, ni mtaalamu wa ndoto ama?Yes ndo maana nikakujibu usioge ukiwa na Mungu nani wa kukuumiza??!
Hapo nini ufanye ushauri wangu mkubwa Ibada sijajua dini gani
Ila mcheck huyu ila anasafiri 0624558418 atakupa muongozo mwambie kanipa dada yako
Yes, kutoboa itakuwa ngumu sana. Yaani hapo nafsi yako inakupa taarifa kwamba kuna shida ktk ulimwengu wa roho, ukiifanyia kazi mambo yanafunguka, yale ambayo umepambana nayo muda mrefu bila mafanikio.Shukrani.....
Are you saying those are signs ya vikwazo vinavyokwamisha kwenye mafanikiwa?
Nourhan Ubarikiwe sana nimesaidika, tumezungumza kwa mda mrefu sana na bro, amenipa mwanga, ni mtu poa Sana.Yes ndo maana nikakujibu usioge ukiwa na Mungu nani wa kukuumiza??!
Hapo nini ufanye ushauri wangu mkubwa Ibada sijajua dini gani
Ila mcheck huyu ila anasafiri 0624558418 atakupa muongozo mwambie kanipa dada yako
ππ Hamna walaa, kaniuliza tu Dada yangu gani??? Nikamwambia simjui jina lake , then akanipigia...Ahsante sana ndugu yangu, Amenifungua Sana macho mambo mengi, usiende kumuuliza Sasa huko πYes mtu poa sana kasafiri leo anaenda Mwanza,kama nawasikia umemwambia kanipa namba dada yako akakutajia my real name πππ