janjab Senior Member Joined May 28, 2015 Posts 172 Reaction score 56 Mar 14, 2020 #1 Hivi majuzi nimeota kuwa rafiki yangu amefariki, ambaye alikuwa mgonjwa na baada ya ndoto hiyo nilihuzunika sana lakini nilimpigia simu na akasema yupo poa tu. Je nini maana ya ndoto hii naomba kujuzwa wana jf. Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi majuzi nimeota kuwa rafiki yangu amefariki, ambaye alikuwa mgonjwa na baada ya ndoto hiyo nilihuzunika sana lakini nilimpigia simu na akasema yupo poa tu. Je nini maana ya ndoto hii naomba kujuzwa wana jf. Sent using Jamii Forums mobile app