Nini tafsiri ndoto hii

Nini tafsiri ndoto hii

Yaah Mara nyingi tunafahamishwa kupitia ndoto

Sio kila ndoto zinaujumbe kwa ajili yetu....na sio kila ndoto inamanisha ndoto kuwa kweli.....nshaota mala kibao nafanya mambo ya maana ila nikistuka toka usingizini.....nakuta patupu.....Ndo ndoto zetu za dunia ya tatu..
 
Nimekuelewa mkuu lakini sikukusudia kuonesha ukanda bali nilitaka kuonesha umbali uliopo kati yao wawili na uwezekano wa kuwa ndugu wa damu.

Umbali wa mtu na mtu uwa unasababishwa na mambo yasiyopingika kama kuvunjika kwa mahusiano....usaliti....hali ngumu ya maisha....na tabia za baadhi ya akina DUNGADUNGA.....hivyo unajikuta upo dar dada yako yupo bukoba au kigoma na hamjuani kabisaaaa!!....mihemko ikiwatawala ndo hivyo tena.
 
Sio kila ndoto zinaujumbe kwa ajili yetu....na sio kila ndoto inamanisha ndoto kuwa kweli.....nshaota mala kibao nafanya mambo ya maana ila nikistuka toka usingizini.....nakuta patupu.....Ndo ndoto zetu za dunia ya tatu..
Ni kweli sio kila ndoto,ndio maana nikatumia neno "Mara nyingi" pia binadam tuko tofauti kama wee unaota uongo basi tupo tunaota ukweli, ndo maana hata maombi yapo yanayopokelewa na yapo yasiyo pokelewa.
 
Tafsri ya ndoto....ni njonzi za mambo ambayo yatakuja...ila mtu wa mwisho kuota ndoto za ukweli ni Yusuphu wa kwenye bible...
 
Back
Top Bottom