nyamalagala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 744
- 675
Wakuu amani iwe kwenu nyote kwa nguvu za RABUKA.
Kama wengi wetu tulivyo, kama una rafiki yako mmeshibana hamkosi kuambiana mambo mengi ya kila nyanja.
Kuna rafiki yangu wa karibu sana na huwa tunashauriana mambo mengi kama ilivyo ada kwa marafiki.
Huyu rafiki yangu ana mpenzi wake na wana miaka miwili katika mapenzi yao.
Juzi aliamua kumwita ili apunguze baadhi ya mambo mwilini na kwa kuwa rafiki yangu yuko geto alilala na mpenzi wake mpaka asubuhi na ratiba ya usiku huo ilikuwa ni kugegedana mwanzo mwiaho.
Wakati wa mapumziko ya ratiba ya kugegeda,rafiki yangu anasema alipatwa na usingizi kutokana na uchovu alioupata wakati wa shughuli pevu.
Sasa cha ajabu wakati amesinzia aliota yuko anamgegeda dada yake wa kuzaliwa nae na katika ndoto hiyo aliota kuwa amekamatwa na mama yake Mzazi wakati wa mgegedo.
Baada ya hapo alishtuka kutoka usingizini lakini akipoangalia alimkuta mpenzi wake ndo yuko ubavuni mwake.
Baada ya ndoto hiyo rafiki yangu aliumia moyoni vibaya sana na hata hamu ya kupiga cha asubuhi njema hakuiwaza tena kwani alijiona mkosefu kupata ndoto ya kugegeda dada yake.Mpaka sasa hana hamu na mpenziwe.
Aliamua kunisimulia hali hiyo ili nimsaidie tafsiri ya ndoto hiyo maana anasema amekosa amani moyoni. Wakuu kama ungekuwa wewe ndo unaombwa ushauri ungemwambia nini juu ya hili.
Karibuni.