Kama ni Virus bhasi kutakuwa na dalili kama Upele hivii ambao unakuwa kama na vimajimaji ndani au mwingine kama tetekuwanga. Lakini pia unaweza pata magonjwa ya kuharisha na udhaifu mwingine wa mwili.
Stress au Msongo wa mawazo pia husababisha Upungufu wa kinga mwilini ambapo hii inaweza isiwe na athari kubwa sana kimwili zinazoonekana lakini pia unaweza pata magonjwa yasababishwayo na Fungus sehemu mbali mbali kama mdomoni hata miguuni. Lakini Pia zipo dawa zinazoathiri na kushusha kinga ya mwili.
Sent from my SM-G611K using
JamiiForums mobile app